Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Nipo na stresiwa na player mmoja hapa wakati yupo good guy mmoja ana show respect kiaina lakin moyo unamkataa.
Player akivurunda anapanga maneno hatoi nafasiii 😂😂😂😂. Kila tunachopanga hakiendii
Player jamanii
 
Kaa kwenye foleni kwa kutulia, zamu yako ikifika upe moyo haki yake. Kuwa na mtu mwenye wapenz wengi sio afya na unajua.
 
Nikuongezee kitu hapo

Wanaume malaya, anaweza kumbembeleza mtoto mkorofi na akatulia. Namaanisha mtoto mdogo, wa miezi kadhaa au miaka chini ya mitano hasa asiyeongea vizuri.
 
Back
Top Bottom