Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

Maplayer boys wengi hugeuka kuwa deadbeat fathers.
Mwanaume wa hivi utamkuta amezalisha wadada Kama watano hivi afu amekana watoto wote kwa kudai kwamba sio watoto wake halali ili kukwepa tu majukumu.
 
Maplayer boys wengi hugeuka kuwa deadbeat fathers.
Mwanaume wa hivi utamkuta amezalisha wadada Kama watano hivi afu amekana watoto wote kwa kudai kwamba sio watoto wake halali ili kukwepa tu majukumu.
Naam
 
Duuh
 
Wanaume wote tunajua, wanawake wanakuwaga kama na upepo flani hivi.
Mfano, ukiwa unatoka na wake za watu yan kuna ka upepo ka wake za watu kanakuwa kanakufata, ukigusa tu imo.
Utafiti wako una kitu kiongozi, ni sahihi.
 
Matako + ngono = akili hakuna ni kuwaza ngoni-> kuwa mzigo katika familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…