Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Inaonekana we ni fundi wa kukutana na izo boxer,
 
Nakubaliana na anaetaka kutangaza nia hapa
 
mmmh mwambie huyo uliyekutana naye ndiye mchafu hyo. nguo mzuri nje ndani boxer wiki haijafuliwa
 
ingekuwa vizuri ungewambia hao ulio do nao kwa mawasiliano yao binafsi
 

daa pole sana dada we kila boy wako mchafu pole sana
 
unyoaji wa nywele mara kwa mara husababisha uotaji wa mvi mapema... mtoto wa kiume sio wa kike jamani, cha muhimu ni kuoga vizuri na kujipiga unyunyu safi, mambo ya kujipiga upara kwenye uchi na kwapani hapana. em wachekini wacheza basket ball akinyanyua mikono unywele huo mweusi msafi unanukia. nyie watoto wa kike ndo maana mnawahi sana kuota mvi kwenye uchi na makwapani kuliko kichwani.
 
Kila shetan analo shetan lake hao wanaume unaowapata ndio wanaendana na level zako Dada huwez kung'ang'ania matozy huku mwenyewe unapenda mapenzi ya mapolini!
 
 
Kwa nini usiwaambie ukiwa nao kitandani?
 
Ni wao zuri umefikisha ujumbe kwa waume wa JF!!
ila sijui bwana wako umemwambia ama Unaenjoy harufu inayotoka makwapani na maeneo ya dushe na kuja kutuambia type ya wanaume unawapataga.
 
kuna wengine smart ila wananuka .. nawapa pole sana..
"usiulize nimejuaje"
Aisee ni kweli,
Kuna braza meni mmoja ukimuona very smart msomi good life
Lakini ukikaa nae karibu aisee utakimbia ananukaa uvundo na harufu mbaya balaaa
Hata sielewi ni nini sijui ugonjwa au...
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
Hukufunzwa wewe; tatizo hili unalipata kutokana na kuokota okota wanaume barabarani. Mbona waarabu na wapemba wana ndevu na manyoya marefu hawatoi harufu? Mtoto una lugha chafu sana wewe kwanza huna adabu kabisa kutukana wanaume wote humu
Haha haha umenichekesha sana mkuu nadhani alikosa malezi ya pande mbili
 
Usafi au uchafu ni mtu mwenyewe! Wanaume tunachukulia poa ni kama siri tu! We habari za wanawake wenzio huzijui tuulize sisi wazee wa show tym hatari tunazokabili kuwausu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…