Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Okay
 
Daah naona kibabu kinafaidi ..nyie wanawake mnaona sisi wanaume hatuzeeki nyie leteni maringo tunawaangalia tu

embu cheki mishkaki kama yote amepiga nayo picha ukicheki picha ya juu kabisa kuna madam amechuchuma nyuma amebeba two planet yaani hiyo ni solar system kabisa hyo inayojitegemea


Yote. Tisa pesa sabuni ya roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well say bro


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.
Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
 
Boss umeoa lakini
If you can't beat them,join them.....naona baada ya kupambana nao sana umeamua kuungana nao! Wamekusikia watakupa LIKES za kutosha. Ila wengine hatuvumilii wanawake ombaomba, we are down with independent women and there are loads of them out there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.

Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao.

Ni wanawake wachache sana kukutana nao. I wish nimpate huyo
 
Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao..
Ni wanawake wachache sana kukutana nao. I wish nimpate huyo
Naamini sio wote wako hivyo.
Usikate tamaa utapata wakufanana naye.
Wengine ugonjwa wetu sio pesa....ukiwa na sense of humor tu nakuelewa[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…