RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
It's just the way you see itYako wewe unaekuwa na mtu asodeserve na yake pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's just the way you see itYako wewe unaekuwa na mtu asodeserve na yake pia.
Hunger to be in love etiHunger ya nini mkwe?
OkayInahusu wote..
Dunia ya Sasa couples wanafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa..
Kawaida inatakiwa mwanaume asimuingilie mwanamke kabla ya ndoa maana bado hajahalalishwa kwake..
Na ikiwa akafanya hivyo Basi aende kwa wazazi wake akatoe mahari..haruhusiwi kumuacha huyo mwanamke maana keshakuwa mkewake..na inatakiwa amhudumie Kama mkewe maana mwanaume Ni provider
Sent using Jamii Forums mobile app
Well say broI always say.
Mapenzi ya kweli ni upendo + Uaminifu na kujali. Pesa si mapenzi ila mapenzi yanahitaji back up na foundation ya pesa ili kuendesha mahusiano yenu.
Hutafurahia mapenzi yako kama huna pesa hata kama mdada anakupenda kiasi gani..You'll always be insecure begging for mercy.
Hakuna mapenzi ya kuoneana huruma, Kijana tafuta hela upate mapenzi ya kweli.
Utakosa hata bando la buku kuchat na mpenzi wako..Saka pesa, mapenzi ya kweli yatakusaka
Pamoja sana kiongozi
Kwanini msitafute wote?I always say.
Mapenzi ya kweli ni upendo + Uaminifu na kujali. Pesa si mapenzi ila mapenzi yanahitaji back up na foundation ya pesa ili kuendesha mahusiano yenu.
Hutafurahia mapenzi yako kama huna pesa hata kama mdada anakupenda kiasi gani..You'll always be insecure begging for mercy.
Hakuna mapenzi ya kuoneana huruma, Kijana tafuta hela upate mapenzi ya kweli.
Utakosa hata bando la buku kuchat na mpenzi wako..Saka pesa, mapenzi ya kweli yatakusaka
sijasoma mada, nime download picha basi
If you can't beat them,join them.....naona baada ya kupambana nao sana umeamua kuungana nao! Wamekusikia watakupa LIKES za kutosha. Ila wengine hatuvumilii wanawake ombaomba, we are down with independent women and there are loads of them out there.
Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao.Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.
Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
Umeifuta?Sina # tatizo
Ndio...Umeifuta?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ndio...
Naamini sio wote wako hivyo.Dad nishakueleza kwa kwetu huku uswahilini ni ngumu kumpata mtu unayemzungumzia. Wanawake wa huku mentality yao imekaa kwqmba wakipata mwanaume basi wanaenda kuponea shida zao..
Ni wanawake wachache sana kukutana nao. I wish nimpate huyo
Soma comment #56[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Basi tena nimekosa pesa.
Nitafutie mdada mwenye mentality kama yako. Mmebaki wachache sanaNaamini sio wote wako hivyo.
Usikate tamaa utapata wakufanana naye.
Wengine ugonjwa wetu sio pesa....ukiwa na sense of humor tu nakuelewa[emoji6][emoji6][emoji6]
Unapenda kuonewa huruma wewe loh [emoji17]Nitafutie mdada mwenye mentality kama yako. Mmebaki wachache sana