Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Kwanini msitafute wote?
Mkaifurahia wote?
Usisubiri upate pesa, mtafute halafu muanze kuzitafuta wote....vichwa viwili ni bora zaidi ya kimoja.
Hakuna mapenzi ya kweli yaliyowekezwa kwenye pesa.
Sidhan Kama wanawake wetu wanawaza kutafuta. Ht wakitafuta bado wanataka wahongwe tu.Wao wanataka wakute ziko tayari.Hivi kweny race nyingine pia Kuna wadangaji Kama walivyo wanawake wa kiafrika? Huwa hafikir wanaume wa kizungu mf inside London huwa nao wanahonga Kama sisi? Ifanyike analysis ya namna tunavyopoteza hela kwa kuhonga.
 

Kujaliwa constantly unakomaanisha, si ndo huko kupewa pesa constantly? Shida ni kuwa wanawake wengi mnapendea wanaume pesa, jitu hulipendi na halikuvutii kingono, ila likikutongoza, unalipa namba ili ulipige mzinga na likutoe out,

shida si kutoa hela, sisi wanaume hatutaki mtupendee hela, na mkitupendea hela, tuna-sense ndo maana tunalalamika humu jf mkituomba hela, maana unajua mmh hapa sipendwi Rebeca 83
 
Halafu mbaya zaidi siyo kwamba hizo kazi hawaziwezi wanaziweza sana na kabla hawajaoa huwa wanazifanya ila wakishaoa huwa wanageuka vilema ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasi huwa tunazifanya pasi na malalamiko hata kidogo. Sasa wao kwenye majukumu yao hawataki napo wanataka tuyafanye sisi[emoji134][emoji134][emoji134]
Imbombo ngafu.
 
nimekuelewa mkuu.
 
Hahahaha hapana sasa kama hana je akaibe?? Mie naamini katika kutumia pesa zangu na ninajijua kwa namna ninavyopenda kutumia pesa nikisema nimtegemee mwanaume nitamfilisi bure heri nitafute zangu tu yeye zake anipe asinipe i'm okay!!
Hahaa acha uongo, eti unaamini mapenzi sio pesa, ..inawezekana huombi hela, ila boyfriend wako asipokupa hela unakereka rohoni Karma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imbombo ngafu tena siyo kidogo,, mie mwanaume ambaye situmii pesa zake wallah jikoni tutaingia wote mimi nikipika yeye anaosha vyombo sitaki ujinga kabisa.. hataki tunakula mawe akichepuka haya akiniacha fresh,, I'm Okeeeeii with everything
Nasi huwa tunazifanya pasi na malalamiko hata kidogo. Sasa wao kwenye majukumu yao hawataki napo wanataka tuyafanye sisi[emoji134][emoji134][emoji134]
Imbombo ngafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa nini unadhani wanawake 'WENGI' as you put it wanapendea wanaume pesa???

Wengi maanake ni majority..

Na ukishaona kitu persistent kinatokea kwenye jamii...mie huwaga nachukulia ni kama trait ama survival instinct.. LOL


ila ndio hali halisi,hata wanyama tuna share nao this instinct...

sijui niliona wapi,ila mnyama male yule aliye agressive ndio female wanawapenda, ni sign ya kuwa protective..female anafeel kuwa protected...na pia huyo mnyama anaweza kuleta resources bila kuuwawa na hivyo..watoto wa huyu female wana uhakika kukua........so hio protection/resources .kwetu wanadamu ni sawa na pesa...LOLSSSSSS.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…