Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babulai pesa ni utatuzi wa changamoto nyingi sana kwenye maisha haya na moja ya changamoto hizo iko kwenye mahusiano. Sasa basi kwa kuwa hii thread iko kwenye jukwaa la mahusiano acha tuijadili pesa kwa mintarafu hiyo.Yaani tumefikia kipindi cha kushauriana tutafute pesa ili tuwahonge na tuonekane wa maana mbele ya wanawake?
Kwa hiyo unatushauri vijana kindakindaki huyo mzee hapo ndiye awe rolimodo wetu...
Kwanini uwaze kuzungukwa na mijanamke mingi hivyo ukiwa kifua wazi! Ungeweka picha ya mwanaume aliyemshikilia mwanamke wake vizuri na mtoto pembeni ukatushauri tujenge familia bora hatimaye tulijenge taifa lililostaarabika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Please sister, usinifanyie hivyo.
Wewe elewa hii 2020 mimi niko Single JF.
We naye unakuwa kama haujui ni wapi penye tunatakiwa kuongea mambo kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa unamkana dada angu mbele yangu jamani ?? [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hata jembe halijui..
Purukushani za mikoani hawazijui..wanalijua tu joto la dar..
Nikipata mwanaume wa dar aliyekulia dar na hajawahi kutoka nje ya dar.. walahi nitampeleka mbeya hata mwezi mzima, Tena mbeya vijijini kwa bibi huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kulima bustani nyumbani unahesabia kwamba Ni kulima?[emoji23]acha utani Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani sasa kwani kujua kulima tu ndiyo tayari mtu amejua maisha,, halafu hata dar mbona kulima kupo mfano kama sisi home kwetu tulihamia nyasi ziko hadi mlangoni..
Leo hii kuna bustani yenye maua na mboga mboga na hiyo kazi ya kulima na kupanda tuliifanya sisi isipokuwa kwa kipindi ambacho tulikuwa boarding ndiyo wazee walikuwa wanatafuta watu wa kufanya hizo kazi na eneo siyo kwamba ni dogo eti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We naye unakuwa kama haujui ni wapi penye tunatakiwa kuongea mambo kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kulima bustani nyumbani unahesabia kwamba Ni kulima?[emoji23]acha utani Basi
Ukitoa kwenu,watu gani wengine wanalima dar?
Kulima pekeyake sio kuyajua maisha lakini mtu wa dar hasa mwanaume aisee wafanyage mpango hata wa kwenda mikoani kwa ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure bro i really appreciate your stance on the matter, you got no business with 'em broke chicks you only do down with independent ones whom you won't even spend a spree on, sounds cool... but do they still breed those species?? Frankly now days it's easier to find a needle at the middle of the sea than snatch that kind you prefer to be with here in town.If you can't beat them,join them.....naona baada ya kupambana nao sana umeamua kuungana nao! Wamekusikia watakupa LIKES za kutosha. Ila wengine hatuvumilii wanawake ombaomba, we are down with independent women and there are loads of them out there.
AmenSijasoma yote ila naunga mkono hoja, tafuteni pesa jamani maana tunazihitaji sana.
Na wote tuseme Amen!
Hata huko teknolojia imefika.Nashindwa nikueleze kwa kutumia lugha gani ili usione kama natumia maneno magumu.
Technologia imekuja ili iturahisishie maisha, wewe unasomeshwa na wazazi ili uvuke hatua moja au mbili zaidi ya wao walipofika.
Sasa kama mzee alilima kwa jembe la mkono, wewe unatakiwa ulime kwa kutumia trekta.
Achana na old school thinking kwamba maisha ni lazima kupata tabu, maisha ni mipango na akili.
Swali: Ukimaliza shule utarudi shamba au ukabaji mjini?
Hata huko teknolojia imefika.
Jembe la mkono si Sana..na nimesema kilimo pekee sio hitimisho la kuyajua maisha.
Kilimo sio shida (tabu) bali ni kazi.
Bado mtazamo wangu ni uleule,mtu ambaye hajatoka nje ya dar,hasa mwanaume,namuona Kama Kuna kitu anakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Mazingira, elimu, tamaduni na malezi yanashape jinsi tunavyofikiria.
Nakuelewa.
Ndio hivyo pesa ina combination ya huensamu,utanashati na akili.Daah kweli pesa ndio uhendsamu sura ata mbuzi anayo