Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

Wasaalam.

Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi.

Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza.

Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo.

Nawasilisha.
Kuna dawa ya kusaidia kuondokana na vitu kama hivi
 
If that's the case then I'm very exceptional, coz Mimi bao la kwanza si chini ya dakika 40.

Kuanzia la pili kuendelea Ni mtafutano wa hatari Sana si chini ya lisaa limoja.

Vijana aacheni punyeto mfurahie ngono na wenza wenu.
 
Wasaalam.

Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi.

Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza.

Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo.

Nawasilisha.
Pesa yako, umtumie vocha, umlipie uber, umlipie chips kuku/kitimoto choma, umlipie savana, ulipie lodge, umpe hela sijui inakuwaga kifuta jasho au nini ila wao wanaonaga ni lazima, umpe hela ya usafiri kurudi kwake nk.

Hivi kwa hayo yote hapo juu unadhani nani anapaswa kupiga bao napema? Sasa unahangaika vyote hivyo ili umridhishe nani?

Get your heads up. Mwanamke wa kukaa nae masaa mawili ni yule ambae wewe hujapambana namna hiyo aisee. Hao wengine utaishia kupata michubuko uoate STDs
 
If that's the case then I'm very exceptional, coz Mimi bao la kwanza si chini ya dakika 40.

Kuanzia la pili kuendelea Ni mtafutano wa hatari Sana si chini ya lisaa limoja.

Vijana aacheni punyeto mfurahie ngono na wenza wenu.
Siri ya mafanikio ni ipi mkuu
 
Siku hizi hawaridhiki hawatosheki we jifanye kijogoo tu
 
Mwanaume kua na hela na nguvu za kiume ni vitu maadui sana ,hivyo inabidi uchague kimoja kati ya hela au nguvu za kiume.

Nb. Wanawake hawariziki kamwe hata umpe roho yako
 
Kama sio effects za kujichua ama madawa ya kutibu magonjwa sugu, ama effects za kutazama sana video za utupu, basi itakua ni tatizo la kisaikolojia tu, wakati mwingine wanaume tunakutwa na majanga kama hayo pasipo kutarajia, mojawapo ya sababu kubwa ikiwa ni hofu ya kutomridhisha mwenzio, ama hofu ya kuwa na uume mdogo
 
Mwanaume kua na hela na nguvu za kiume ni vitu maadui sana ,hivyo inabidi uchague kimoja kati ya hela au nguvu za kiume.

Nb. Wanawake hawariziki kamwe hata umpe roho yako
Mimi Mbona Sina vyote Sasa😔😔😔
 
Back
Top Bottom