Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Wanaume Tabia ya Kutembea Bila Boxer/Chupi Mmeitoa Wapi?

Nakumbuka mwaka 2014 Kikeke aliwahi pata fadhaha sana kwa issue yenye vinasaba kama vya kwenye huu uzi
 
nan annavaaa box wanasem inasababisha kuw na kibamia

Boxer za kubana labda, siku hizi kuna boxer ziko loose.

G1117-036-MD.png
 
hahahah, kwanza nimewaza hivi kama ana hogo, ni vipi ataweza kufanya mazoezi si litakuwa linagonga gonga kwenye mapaja yake!!! tehe tehe tehe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom