Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
To be honest
Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy
Yani imenifanya kichwa kigande
Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy
Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka sasa
Tofauti ni kwamba zamani hakukuwa na social media vitu vilikuwa havionekani, sasahivi social media imekuwa juu, vitu vinaanikwa juu kama vipya lakini hii michezo tangu na tangu
Huyo P.diddy wenu sio mwanzilishi
Sasa mtueleze basi, hizo mifuta yote lita 1000 inaenda kwa mwanamke au kuna mengine?