Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

To be honest
Mpaka sahivi nawaza zile lita 1000 za p.diddy

Yani imenifanya kichwa kigande

Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy

Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka sasa

Tofauti ni kwamba zamani hakukuwa na social media vitu vilikuwa havionekani, sasahivi social media imekuwa juu, vitu vinaanikwa juu kama vipya lakini hii michezo tangu na tangu

Huyo P.diddy wenu sio mwanzilishi

Sasa mtueleze basi, hizo mifuta yote lita 1000 inaenda kwa mwanamke au kuna mengine?
Chupa 1000 na sio lita 1000....Chupa inaweza ikawa 250 mls
 
Huko mbeya kuna shoo zuchu kapafomu wakamrushia mawe akawauliza shida nini wakasema hawamtaki yeye wanamtaka mke wa pididi.
 
To be honest
Mpaka sahivi nawaza zile lita 1000 za p.diddy

Yani imenifanya kichwa kigande

Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy

Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka sasa

Tofauti ni kwamba zamani hakukuwa na social media vitu vilikuwa havionekani, sasahivi social media imekuwa juu, vitu vinaanikwa juu kama vipya lakini hii michezo tangu na tangu

Huyo P.diddy wenu sio mwanzilishi

Sasa mtueleze basi, hizo mifuta yote lita 1000 inaenda kwa mwanamke au kuna mengine?
huenda alikuwa anayatumia katika ibada ya kukanyaga mafuta
 
Labda zilikuwa ni mchanganyiko wa dawa za kulevya unapakwa unalewa
 
Binafsi nafikiri huenda p did alikuwa anafanya biashara ya mafuta hayo Kama sio kuya tengeneza kimagendo na kuya sambaza

Kama vilivyo viwanda fake vya pombe Kali

Lakini kwasababu mafuta Yale yalikuwa yakupaka na yaka patikana kipindi ambacho did yupo.kwenye scandal inayo husiana na mambo hayo ya kinyume na maumbile

Na kwa bahati mbaya au nzuli mambo Yale Yana hitaji virainishi

ndipo hapo maadui zake walipo tumia mwanya huo kumchafua did zaidi kwa kuhusianisha na mafuta mkuu

Kwakifupi nikwamba haikuingii hakilini kwasababu sio ukweli
 
Back
Top Bottom