Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

Muwe mnajiongeza, hizo chupa zitakuwa kibebeo cha bidhaa fulani, hayo mafuta anamwaga yeye shida yake empty bottles.

Nani atakagua baby care bottles ?

Hebu jiongezeni.
 
Muwe mnajiongeza, hizo chupa zitakuwa kibebeo cha bidhaa fulani, hayo mafuta anamwaga yeye shida yake empty bottles.

Nani atakagua baby care bottles ?

Hebu jiongezeni.
Wenzio wanalipwq kwa dola na wamekagua na kutoa ripoti
We unaongea kama nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…