Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Baba ni baba tu

Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia.

Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma.

Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani, na wakati mwingine tunaamini ni baraka hasa pale utakapo wahitaji katika msaada wao.

Kuwapa elimu bora, chakula kizuri, mavazi safi, huduma bora za kiafya, malazi mazuri ni jukumu la wazazi katika kufanikisha hilo.

Chukulia mfano wewe ni muajiriwa/mfanya biashara; mshahara wako/faida yako kwa mwezi ni milioni moja.

Na una watoto wanne, ambao wote wanasoma, aliyepo chini labda yuko darasa la kwanza. Ada kwa kila mmoja kwa wastani ni milioni 2.

Ikiwa na maana kuwa, kwa mwaka unatakiwa ulipe milioni nane (8) kwa ajili ya kusomesha; kama utawahudumia kwa miaka 20 mpaka wajitegemee,ina maana utatumia zaidi ya milioni 160 kwa kuwapa elimu tu.

Hapo bado hujafikiria vitu vingine.

Kwa mahesabu hayo, unatakiwa ujenge pia, ufungue vyanzo vingine vya mapato n.k, je hizo pesa utapata wapi?

Ukiona watu wanataka wazeekee maofisini au kwenye uongozi, ni kwa sababu ya mambo kama hayo.

Ukisubiria kiinua mgongo, ambapo umetumika miaka mingi kwenye ajira, hakikidhi gharama za kusomesha hao vijana.

Kwa mazingira hayo, wababa tushtuke mapema, tupunguze uwekezaji kwa michepuko.

Karibu kwa mjadala.
​
 
Ukiwa mwanaume smart upstairs smart wa mavazi smart kiuchumi and smart kutandani

Huwezi kuwa unahonga Always utakuwa unakula papuchi bila kutumia nguvu kubwa , kwanza utakuwa kama Maua wanawake wengi smart wazuri watakuwa wanakufuata fuata kama nyuki anavyo yafuata Maua so utakuwa unajichagulia tu yupi upige yupi umuache

Ofcourse kusaidiana ktk mambo mawili matatu lazima hali hiyo iwepo But you have to make sure una mwanamke ambaye nyote mnasaidiana sio wewe tu daily ndio unakuwa Unatoa pesa zako


Mwanaume ukiona upo ktk mahusiano na mwanamke Kwa kutumia nguvu kubwa ya uchumi wako Shtuka Mapema sana ,
 
Wakati una sema usi honge, nakumbusha pia usi zalishe hovyo kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu yako.

watoto wa mitaani hawa kuji leta, ila ni matokeo ya wahuni wawili wasio jielewa.

maana wewe pia ni kanjanja wa hovyo.
Screenshot_20250712-154349_1.jpg
 
Wakati una sema usi honge, nakumbusha pia usi zalishe hovyo kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu yako.

watoto wa mitaani hawa kuji leta, ila ni matokeo ya wahuni wawili wasio jielewa.

maana wewe pia ni kanjanja wa hovyo.
Kaka mimi na wewe ni watu wa pesa mingi hizi mambo za kuonyana kwamba sijui pesa itaisha nikuaribiana akili ya kupambania kombe bwashee
 
Back
Top Bottom