Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Fainali ni ukubwani, majukumu yakiwa mazito.Maswala ya kuhonga ama kutohonga yanatemegeana na hali ya kichwa cha chini hivyo tusipangiane bwashee š¤
Nakubaliana na hiliMwanaume ukiona upo ktk mahusiano na mwanamke Kwa kutumia nguvu kubwa ya uchumi wako Shtuka Mapema sana ,
Hakuna cha fainali bwashe mimi kila siku kwangu fainali inategemea standards zako tu mekuš¤Fainali ni ukubwani, majukumu yakiwa mazito.
Iko hivyo Mzee hapo unatumika tu kukamilisha ndoto za watu šš¤£š¤£Nakubaliana na hili
Ha ha ha jiandae kuishi maisha ya upweke uzeeniHakuna cha fainali bwashe mimi kila siku kwangu fainali inategemea standards zako tu mekuš¤
Na watoto bwasheeHa ha ha jiandae kuishi maisha ya upweke uzeeni
View attachment 3403241
ha ha ha ha ni kuwa makini tuWakati una sema usi honge, nakummbusha pia usi zalishe hovyo kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu yako.
watoto wa mitaani hawa kuji leta, ila ni matokeo ya wahuni wawili wasio jielewa.
maana wewe pia ni kanjanja wa hovyo.
Hujaona wazee hapo mjini zaidi ya miaka 70 anapambania mwendokasi kuwahi kibaruani?Na watoto bwashee
Kaka mimi na wewe ni watu wa pesa mingi hizi mambo za kuonyana kwamba sijui pesa itaisha nikuaribiana akili ya kupambania kombe bwasheeWakati una sema usi honge, nakumbusha pia usi zalishe hovyo kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu yako.
watoto wa mitaani hawa kuji leta, ila ni matokeo ya wahuni wawili wasio jielewa.
maana wewe pia ni kanjanja wa hovyo.
Wanaharibu ndoto za watuWanawake wengine si shingo bali mikia katika familia.
Siwezi kuwa hivyo coz babu yangu hakuwahi fikia hiyo hatua sembuse mimi?Hujaona wazee hapo mjini zaidi ya miaka 70 anapambania mwendokasi kuwahi kibaruani?
Halafu unaweza ukapewa miaka mingi ya tabu ili wengine wajifunzie kupitia kwako.Siwezi kuwa hivyo coz babu yangu hakuwahi fikia hiyo hatua sembuse mimi?
Kaka mimi hata now na hii miaka yangu ninyang'anye kila kitu kitu ila niachie akili yangu tu nakupita𤣠naongea kama mlevi ujueš¤£Halafu unaweza ukapewa miaka mingi ya tabu ili wengine wajifunzie kupitia kwako.
Una watoto wangapi?Kaka mimi hata now na hii miaka yangu ninyang'anye kila kitu kitu ila niachie akili yangu tu nakupita𤣠naongea kama mlevi ujueš¤£