Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

🔨
 
Kwa muonekano pisi inaweza nikubali haraka sna ila kuacha pombe na kumhonga hapo lazima niachwe vibaya sna😭🥱😭
Weee sema kweli??? Naombapo kafoto ka muonekano wako nisafishepo macho!!! 🤭😊

Wewe ulevi wako ni kinywaji na si wanawake!! Yani wanawake ni basi tu uko mwanaume lazima uoshe rungu nakuzalisha ausio!!
 
Weee sema kweli??? Naombapo kafoto ka muonekano wako nisafishepo macho!!! 🤭😊

Wewe ulevi wako ni kinywaji na si wanawake!! Yani wanawake ni basi tu uko mwanaume lazima uoshe rungu nakuzalisha ausio!!
Kaone , siku utamleta kajomba kangu na selfika kule kwenye uzi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…