Wanaume tuamke tusihonge sana kwa michepuko, mbele tuna majukumu mazito.

Uliposema "tusihonge"nikaangalia hela yangu😂😂😂
Jirani kanikopa nimemwambia Sina kanuna tangu Jana ni msichana yani aliona ni haki yake kupewa
 
Inasikitisha sana
 
Uliposema "tusihonge"nikaangalia hela yangu😂😂😂
Jirani kanikopa nimemwambia Sina kanuna tangu Jana ni msichana yani aliona ni haki yake kupewa
Tusipokuwa makini, tutakuwa tunatumika kama daraja kwa wengine huku mambo yetu ya msingi yakisimama.​
 
Kweli kabisa, wazee wakiume ndio uteseka zaidi.
Naam! Wanawake kidogo tuna ahuweni pale watoto wanapokuwa wakubwa humuangalia mama zaidi, baba ukipata hata mtoto mmoja anayejali kuhusu wewe ni jambo la kushukuru

Tofauti na hapo unajikuta bachelor kila siku mama anasafiri kwenda kwa watoto, wakati ambao unamuhitaji kama mfariji nk.
 
Mimi hela yangu inaenda UTT.Siku nimezeeka itanifaa sana.

Wanawake wananishobokea wenyewe na sihongi hata mia mbovu,jamii imebadilika wanaume wenzangu shtukeni hawa wanawake tukiwakazia wao ndio watakuwa wanatutafuta,kutuhonga na hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Set standards, jipende,vaa vizuri,ishi sehemu nzuri,kuwa na kausafiri,live the life, mind your own business,stop chasing akimute wewe unamute mara mbili,akitishia kukuacha wewe unamuacha kabisa.Utaona hao kenge wanavyoshoboka.Kazi yako itabaki kuwafanya utakavyo.

📌Na ni mwiko kuwapeleka GETTO hawa viumbe wao ni lodge tu.Anza leo ifanye ngono kama kiburudisho.Play with them toys with no attachment.

#Have fun,mapenzi ni mchezo wa hisia!!!!
 
Nimepata kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…