Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

Silaha nzuri kuliko yote ni kuishi na majirani vizuri, hasa wale third class.

Hautakaa uvamiwe.
 
Mimi nimenunua tundikali nimeiweka kwenye syringe na iko peaceful packed kwenye drawer ya MEZA ya kitanda.... yaani ukijichanganya naispray usoni chap
Hivi tindikali huwa inauzwa kwenye maduka ya kemikali au hata pharmacy?
 
Usikose panga
Nyundo
Rungu
Msumeno
Tochi


Kuna taa za nje zimeona wengi wanazitumia
Zinasense,mtu akipita tu nje ya fance Yako taa inawaka sana.
Hiyo kidogo itamshtua mwizi.
 
Unaweza ukawa na vyote na wakakutight kama kawaida tu.

Mwizi aliyeamua kuvunja akaingia ndani anajua ni either afe yeye au wewe, do he's prepared.

Tuliowahi kutaitiwa tunaelewa, wabebe kila kitu waniache na familia.

Though sikosi sime, manati, koroba, tochi ya mwanga mkali.
 
Kuchangamana na wahuni inategemea sana personality na mwonekano wako, sie wengine tuna sura za kiaskari afu ni introverts tukifika tu maeneo walokaa wahuni wanahis tumeenda kuwapeleleza.
 
Utawapiga wangapi na hiyo manati, yanakuja yamevaa makoti mazito na mizura hiyo manati ni kama unawakuna tu na wakijua uelekeo ilipotoea kwisha habari yako.

Machete ndio dawa yao, ukishamshusha mmoja wao bega wakiona damu imemwagika hawakai hiyo sehemu hata sekunde wanajua wamevamia nyumba ya jambazi mwenzao.
 
Basi utakuwa unaishi peponi wewe.
 
Najengaje mazoea na jrani wakati nyumba yangu ina fence, yake ina fence, yaan hakuna tunachoshare, wala kuingiliana!! Natoka sa moja narudi saa 1 usku, huyo jran tutazoeana sa ngap?
 
Tafuta mkia wa Taa samaki au kausha Mwanzi unaoweza kuushika mkononi vizuri na hakikisha angalau umekuzidi kidogo urefu. Utaja shukuru siku nyingine
 
Najengaje mazoea na jrani wakati nyumba yangu ina fence, yake ina fence, yaan hakuna tunachoshare, wala kuingiliana!! Natoka sa moja narudi saa 1 usku, huyo jran tutazoeana sa ngap?
Mkuu hapo ndo unapokosea sasa kujifanya upo busy na matawi ya juu. Matukio ya ujambazi husukwa nje huko kazini, kwenye biashara zako, marafiki ama hata ndugu lakini lazima ili yatekelezwe kiufasaha kuna mtu watamplant hapo nyumbani hasa mara nyingi ma house gal hutumiwa sana kujua chumba unacholala na uwezekano wa wapi unahifadhi pesa na lini uliingia na zigo la pesa.

Sasa ikiwa kama una mahusiano mazuri na jirani zako japo wawili mkapeana mikakati ya kujihami na matukio ya ujambazi, ni rahisi sana kuharibu mipango ya uvamizi kuliko kujihami pekeyako wakati tayari umevamiwa.

Huwezi kuwa busy siku zote kiasi cha kukosa upenyo wa kuonana na majirani zako. Kuna matukio mhimu lazima yawakutanishe i.e msiba na mikutano ya mtaa siku za wkend n.k
Jitahidi ubadili mindset mkuu...!
 
Kwani wao hawatembei na torch?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…