Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.
Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.
Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.
Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.
@Kaeni nao kwa akili.