Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Screenshot_20250124-221930_Instagram Lite.jpg
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
Umeongea vzr ila sijui kama hata wamekuelewa
 
mbwa jike wananidhamu kwenye tendo lamaisha

dume likichomoa tu jike hugeuka fasta na kuaza kuulamba mkurunge....

Wanaume sisi tutawapaje asante wakati ikichomolewa tu mwanamke mojakwamoja bafuni.....mnaendaga kutoa nn
Wewe na mwenza wako mnataka mfanane tabia na mbwa!😳
 
Umewapa code waishi na wanawake kwa akili ila bado wanabisha
 
Back
Top Bottom