Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Mbinu Hii Ni Kwa Vijana Wale Walioanza Kutomb Baada Ya kuanza Kujipata Au Walioanza Kupokea Mshahara Baada Ya Kuwa Bikra KwA Muda Wote Walipokuwa Hawana Senti Ila KwA Sisi Tunaojua Kutongoza Wala Hatuhitaji Pesa Ili Tutomb Wala Kupendwa.
Ila wewe Nchi tisa una mamboo,
 
Hawa ndo huwa wakikoshwa na wake zao asubuh wanaamka na wazo la kutunga sheria kandamizi kwa mwanaume

Hz sheria zote za 50/50 au talaka za ulaya huko chanzo ni mwanaume na leo yanamrudia huyo huyo mwanaume
 
mbwa jike wananidhamu kwenye tendo lamaisha

dume likichomoa tu jike hugeuka fasta na kuaza kuulamba mkurunge....

Wanaume sisi tutawapaje asante wakati ikichomolewa tu mwanamke mojakwamoja bafuni.....mnaendaga kutoa nn
Hii ndio naisikia leo😄😂😂
 
Ngono imetawala Sana akili Yako kijana,, Kwa lipi hasa la kushukuru baada ya Tendo la ndoa??
 
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako.

Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa kumshukuru Mkeo. Hata kama chakula umenunua wewe. Hii itamfanya aendelee kukuhudumia vema kwa mapishi na kujali sana afya Yako.

Tusijishike sana na neno HAKI ya ndoa. Fahamu yule anayekupa HAKI hiyo naye anapaswa kuwa vizuri kisaikolojia, kiakili na kihisia.

Neno Asante kwa Mkeo ni Moja ya vitu vinachochoea na kusisimua sana Mapenzi yake ya dhati kwako.
Mke akikupenda atakuhudumia kwa kujali vizuri, na hivyo utakuwa salama zaidi.

@Kaeni nao kwa akili.
1 Wakorintho 11:9
Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.
 
Kila mtu amwambie mwenzie asante...
Yaani asante zenu zikutane katikati.
 
Nilijua huu uzi lazima ukukurupue mafichoni
Mimi kwa kweli nikishapelekewa moto lazima nishukuru yaan nimtoe mtu jasho alaf nimuangalie hivihivi jaman, lazima nimshukuru kwa kunikoja na yeye ananishukuru kwa mauno na mautundu kwa kweli, sex ni ubunifu lazima anishukuru kwa ubununifu yaan sanaa yangu kuchezea muwa wake
 
"Mtu anasafiri mpaka DRC kufuata majeshi ya kukodi (KASONGOI) Kwaajili ya Aisha wa Tandale.....Alafu una sema?
 
Back
Top Bottom