Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

Mbinu Hii Ni Kwa Vijana Wale Walioanza Kutomb Baada Ya kuanza Kujipata Au Walioanza Kupokea Mshahara Baada Ya Kuwa Bikra KwA Muda Wote Walipokuwa Hawana Senti Ila KwA Sisi Tunaojua Kutongoza Wala Hatuhitaji Pesa Ili Tutomb Wala Kupendwa.
Ila wewe Nchi tisa una mamboo,
 
Hawa ndo huwa wakikoshwa na wake zao asubuh wanaamka na wazo la kutunga sheria kandamizi kwa mwanaume

Hz sheria zote za 50/50 au talaka za ulaya huko chanzo ni mwanaume na leo yanamrudia huyo huyo mwanaume
 
mbwa jike wananidhamu kwenye tendo lamaisha

dume likichomoa tu jike hugeuka fasta na kuaza kuulamba mkurunge....

Wanaume sisi tutawapaje asante wakati ikichomolewa tu mwanamke mojakwamoja bafuni.....mnaendaga kutoa nn
Hii ndio naisikia leo😄😂😂
 
Ngono imetawala Sana akili Yako kijana,, Kwa lipi hasa la kushukuru baada ya Tendo la ndoa??
 
1 Wakorintho 11:9
Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.
 
Kila mtu amwambie mwenzie asante...
Yaani asante zenu zikutane katikati.
 
Nilijua huu uzi lazima ukukurupue mafichoni
 
"Mtu anasafiri mpaka DRC kufuata majeshi ya kukodi (KASONGOI) Kwaajili ya Aisha wa Tandale.....Alafu una sema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…