Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada ambaye in real life humjui hakujui, Utakuta dm ya mdada imejaa sms toka kwa wanaume 9 tofauti, na hajawajibu hata mmoja bcoz Wote hawafahamu, sisemi its wrong kumtongoza mdada, ila tunatumia platform mbovu inayotufanya wanaume Tuonekane tuna njaa sana na ngono, ndio maana wanaume tunadharaulika.

Mtu unatumia laki 6 kumuhonga mdada uliekutana nae juzi Ili akupe penzi wakati huyo mdada hata hakujali, ukute hata hajakuomba io hela, hakuthamini, hajawahi kukupa Papuchi na hatokaa aje kukupa papuchi, wakati mdogo wako wa kike Kule kijijini hana hata sketi mbili na amekosa tshs elfu 80 ya ada..ila kijana mdogo wa kiume unawekeza hela kwenye ujinga, nilisoma mtandaoni kwa nchi kama Marekani kuna baadhi ya wanaume huwapa wanawake ambao wamekutana nao cku mbili zilizopita hadi usd 5000 (Tshs million 11) ili tu wapate mzigo mara nyingi hao wanaume hawapati hata busu toka kwa hao wanawake achilia mbali papa yenyewe.

Kwenye sekta ya mahusiano naona kwa kiasi fulani wanawake wametuzidi akili, huwezi kuta mdada amekaa anaanza kutuma sms Za kimapenzi kwa wanaume asiowajua mtandaoni, huwezi kuta mwanamke anatumia asilimia 60 ya mshahara wake kuwapa wanaume wanne tofauti ili afanye nao mapenzi.

Wanaume tuache wenge na tupunguze njaa ya ngono, tu-focus kwenye kujijenga kiroho (Tumtafte Mungu) tujijenge kiuchumi kwa manufaa yetu, ya ndugu zetu, Wake na watoto, watu jirani wanaotuzunguka na taifa kwa ujumla.

Kulala na wanawake wengi au kulala na kila mwanamke unaemuona sio sifa wala ujanja.
Afu hao unaowahonga ukute wana mbunye za ajabu kinoma, kumpa pesa mwanamke asie kuhusu ni uboya
 
Hahhaha nadhani mwanaume bila kuhonga hajakamilika...[emoji3][emoji3] Utakamata je kuku pasipo kumrushia mahindi!?[emoji849] Mchele kidogo..nk

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Walivyo vichwa ngumu watajitia huu uzi hawajauona watapita zao kimya kimya..!!
Na mkijaribu kuichunia thread kila mmoja ataikuta link inbox, mnataka mtausoma, hamtaki mtausoma, na tutawapiga maombi mpaka mbadilike.!

Nipo nyumbani, anayetaka kunipiga aje..!!
 
Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada ambaye in real life humjui hakujui, Utakuta dm ya mdada imejaa sms toka kwa wanaume 9 tofauti, na hajawajibu hata mmoja bcoz Wote hawafahamu, sisemi its wrong kumtongoza mdada, ila tunatumia platform mbovu inayotufanya wanaume Tuonekane tuna njaa sana na ngono, ndio maana wanaume tunadharaulika.

Mtu unatumia laki 6 kumuhonga mdada uliekutana nae juzi Ili akupe penzi wakati huyo mdada hata hakujali, ukute hata hajakuomba io hela, hakuthamini, hajawahi kukupa Papuchi na hatokaa aje kukupa papuchi, wakati mdogo wako wa kike Kule kijijini hana hata sketi mbili na amekosa tshs elfu 80 ya ada..ila kijana mdogo wa kiume unawekeza hela kwenye ujinga, nilisoma mtandaoni kwa nchi kama Marekani kuna baadhi ya wanaume huwapa wanawake ambao wamekutana nao cku mbili zilizopita hadi usd 5000 (Tshs million 11) ili tu wapate mzigo mara nyingi hao wanaume hawapati hata busu toka kwa hao wanawake achilia mbali papa yenyewe.

Kwenye sekta ya mahusiano naona kwa kiasi fulani wanawake wametuzidi akili, huwezi kuta mdada amekaa anaanza kutuma sms Za kimapenzi kwa wanaume asiowajua mtandaoni, huwezi kuta mwanamke anatumia asilimia 60 ya mshahara wake kuwapa wanaume wanne tofauti ili afanye nao mapenzi.

Wanaume tuache wenge na tupunguze njaa ya ngono, tu-focus kwenye kujijenga kiroho (Tumtafte Mungu) tujijenge kiuchumi kwa manufaa yetu, ya ndugu zetu, Wake na watoto, watu jirani wanaotuzunguka na taifa kwa ujumla.

Kulala na wanawake wengi au kulala na kila mwanamke unaemuona sio sifa wala ujanja.
UKWELI MTUPU.....

UMETEMA MADINI MATUPU.....

Wanaume hao wanaitwa "BETA MALES".....si WANAUME MAKINI kwenye LOLOTE LILE....amini ninakuambia......
 
Walivyo vichwa ngumu watajitia huu uzi hawajauona watapita zao kimya kimya..!!
Na mkijaribu kuichunia thread kila mmoja ataikuta link inbox, mnataka mtausoma, hamtaki mtausoma, na tutawapiga maombi mpaka mbadilike.!

Nipo nyumbani, anayetaka kunipiga aje..!!
👋👋
 
Tumeusoma vzr tu mkuu
 
Nakuja kukupasua

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Uzinzi HUFUKARISHA.....

Mishahara HAIKAI kwa sababu ya UZINZI ULIOVUKA MIPAKA....

Havikai na havivimbi visenti vya WAVUJA JASHO katika UFUNDI UJENZI+UDEREVA DALADALA NA BODABODA....

Utawaona hawana AMANI NA UTULIVU kutokana na ULOFA wa kujitakia.......wakipata VIJISENTI TABASAMU HURUDI kwa muda mfupi tu kabla ya kuwaona TENA WAKIWA HAMKANI HALI SI SHWARI MIFUKONI🤣🤣
 
Sure mkuu,ndomana mm nikaoa mwanamke mweupe mwenye chura ili kuokoa upotevu wa pesa wa kibwege kama huoo,nikiona mdada mwenye chura hata kama nikimtamani najisemea moyoni"mbona na wife chura anayo" basi nampotezea..nikipiga mechi za nje ujue huyo mtu kawa interested na mm yaan kanishobokea na hawa always huwa hawana vizinga...na unakuta wale wengne wa kujitegesha huwa nawatolea nje mapema sana ili nisipoteze pesa
N.B Wanaume wengi wanapoteza pesa kwa wanawake wenye chura,,hakuna bwege atakayetuma laki sita kwa kidemu kimbau mbau HAKUNA,Yote hii sababu ni MATAKO tu...
 
Ulichobugi apo man ni kufananisha hisia za mwanamke na mwanaume. Huwezi kuta mwanamke anaspend pesa nyingi au kutafuta wanaume mtandaon simply because wao hisia zao kingono ziko mbali.

Sisi kuona tuu upaja mtu udenda ushamtoka, na ni kweli watu wengine hadi hutuma pesa kwa watu wasiowajua ili tu wapate penzi. Ni genye tu mkuu.

Na suluhisho ni kama ulivosema ni kuomba Mungu na kujitambua. Ila mkuu sio wote wanaofata manzi dm ni kua wanataka kungonoka wengine wana mambo yao tu ila ndo ivo kwasababu asilimia kubwa ni wa ngono ko na wao wanaangukia humo.
 
Tunatofautiana kwenye hiyo unaiita njaa ya ngono.
Kuna ambao wana njaa kali, wenye njaa ya kadri , wenye njaa kidogo,, na pengine wasio na njaa kabisa.

Pengine wewe hauna njaa kabisa hivyo huu ushauri wako utatua vema kichwani kwa asiye na hiyo njaa kama wewe. Kwa mwenye njaa kali atakuona unaongea mauzauza, atahisi unajaribu tu kuwa smart machoni pa watu ila una mambo yako ya chinichini.
20210815_032520.jpg

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sure mkuu,ndomana mm nikaoa mwanamke mweupe mwenye chura ili kuokoa upotevu wa pesa wa kibwege kama huoo,nikiona mdada mwenye chura hata kama nikimtamani najisemea moyoni"mbona na wife chura anayo" basi nampotezea..nikipiga mechi za nje ujue huyo mtu kawa interested na mm yaan kanishobokea na hawa always huwa hawana vizinga...na unakuta wale wengne wa kujitegesha huwa nawatolea nje mapema sana ili nisipoteze pesa
N.B Wanaume wengi wanapoteza pesa kwa wanawake wenye chura,,hakuna bwege atakayetuma laki sita kwa kidemu kimbau mbau HAKUNA,Yote hii sababu ni MATAKO tu...
Umenikumbusha wahenga waliosema "si wote walio na macho wanaona"......

Wewe "una macho"....

Na uliyafanyia KAZI KIMKAKATI ili leo USIPATE SHIDA NA TABU 🤣🤣

Bravooo ALPHA MALE mwenzangu!
 
Mtoa mada anaongea ambacho hakijui.

Wanaume tukiwa bar
Unaweza kaa na washkaji mezani hata uwajui na Wala utegemei wakupe chochote in return,

ila mkanywa mpaka pombe za laki 8 na Wala isiume hata kidogo.

Kuna tabu gani nikimtumia mwanamke laki 6 ambae nategemea ntapata angalau utamu wake kunako 6×6.

Mtoa mada unafeli Sana
 
Back
Top Bottom