Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

Mtoa mada
Kwenye upande wa tamaa unavofananisha mwanaume na mwanamke unakua unakosea Sana.

Mwanamke anaweza kaa ata miaka 2 bila kusex na akawa bado Yuko sawa.

Ila nitafutie mwanaume anayeweza kukaa miaka 2 bila kusex,
afu nambie utamkuta na Hali gani kiakili.

Unachotakiwa ujue,
Sisi Wanaume tukishamtamani mwanamke , pesa inakua Haina thamani Tena.

Kinachohitajika hapo Ni papuchi TU bhaaaas.

Mambo ya pesa, Ayo yanakua Ni makaratasi TU.

TUSIPOTOSHANE TAFADHALI
 
Ulichobugi apo man ni kufananisha hisia za mwanamke na mwanaume. Huwezi kuta mwanamke anaspend pesa nyingi au kutafuta wanaume mtandaon simply because wao hisia zao kingono ziko mbali.

Sisi kuona tuu upaja mtu udenda ushamtoka, na ni kweli watu wengine hadi hutuma pesa kwa watu wasiowajua ili tu wapate penzi. Ni genye tu mkuu.

Na suluhisho ni kama ulivosema ni kuomba Mungu na kujitambua. Ila mkuu sio wote wanaofata manzi dm ni kua wanataka kungonoka wengine wana mambo yao tu ila ndo ivo kwasababu asilimia kubwa ni wa ngono ko na wao wanaangukia humo.
Mtoa mada anapaswa akapimwe afya ya ngono,

Huenda ana upungufu wa nyege mwilini.

Mwanaume aliekamilika ,
Tendo la Ndoa Ni mahitaji muhimu Kama ilivyo chakula,malazi na mavazi.

Kingine anajisahau kua kwa Zama tulizopo,pesa inarahisisha kupata mahitaji muhimu kwa urahisi.

Kwahiyo,
Kwenye suala la Kutoa pesa, wanaume anayetoa pesa anakua kapitia njia ya mkato zaidi.

Kwa maana
MDA wa Kujieleza Sana, tuchuma chuma maua, kulia Lia Sana unakua hamna.
 
Tunatofautiana kwenye hiyo unaiita njaa ya ngono.
Kuna ambao wana njaa kali, wenye njaa ya kadri , wenye njaa kidogo,, na pengine wasio na njaa kabisa.

Pengine wewe hauna njaa kabisa hivyo huu ushauri wako utatua vema kichwani kwa asiye na hiyo njaa kama wewe. Kwa mwenye njaa kali atakuona unaongea mauzauza, atahisi unajaribu tu kuwa smart machoni pa watu ila una mambo yako ya chinichini. View attachment 1901467

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
umeongeA fact KABisa,

Afu Kitendo Cha mwanaume kuonea huruma na kuzipangia matumizi Ela za mwanaume mwenzake alozitafuta kwa jasho lake mwenyewe.

Huo Ni UJINGA ULOTUKUKA.
 
Wanawake wa Jf na nyie acheni kua vigeugeu.

[emoji117]Kaka ako akimpa sana pesa mwanamke wake, mnasema
"Kaka Hana Akili, anahonga honga Sana Ela kwa wanawake"

[emoji117]Ila Kaka ako uyo uyo,
Akikupa Sana wewe dada ake pesa, unasema
"Kaka ana Akili, hatumii pesa ovyo kwa wanawake"

Yaani ni ubinafsi juu ya ubinafsi
 
Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada ambaye in real life humjui hakujui, Utakuta dm ya mdada imejaa sms toka kwa wanaume 9 tofauti, na hajawajibu hata mmoja bcoz Wote hawafahamu, sisemi its wrong kumtongoza mdada, ila tunatumia platform mbovu inayotufanya wanaume Tuonekane tuna njaa sana na ngono, ndio maana wanaume tunadharaulika.

Mtu unatumia laki 6 kumuhonga mdada uliekutana nae juzi Ili akupe penzi wakati huyo mdada hata hakujali, ukute hata hajakuomba io hela, hakuthamini, hajawahi kukupa Papuchi na hatokaa aje kukupa papuchi, wakati mdogo wako wa kike Kule kijijini hana hata sketi mbili na amekosa tshs elfu 80 ya ada..ila kijana mdogo wa kiume unawekeza hela kwenye ujinga, nilisoma mtandaoni kwa nchi kama Marekani kuna baadhi ya wanaume huwapa wanawake ambao wamekutana nao cku mbili zilizopita hadi usd 5000 (Tshs million 11) ili tu wapate mzigo mara nyingi hao wanaume hawapati hata busu toka kwa hao wanawake achilia mbali papa yenyewe.

Kwenye sekta ya mahusiano naona kwa kiasi fulani wanawake wametuzidi akili, huwezi kuta mdada amekaa anaanza kutuma sms Za kimapenzi kwa wanaume asiowajua mtandaoni, huwezi kuta mwanamke anatumia asilimia 60 ya mshahara wake kuwapa wanaume wanne tofauti ili afanye nao mapenzi.

Wanaume tuache wenge na tupunguze njaa ya ngono, tu-focus kwenye kujijenga kiroho (Tumtafte Mungu) tujijenge kiuchumi kwa manufaa yetu, ya ndugu zetu, Wake na watoto, watu jirani wanaotuzunguka na taifa kwa ujumla.

Kulala na wanawake wengi au kulala na kila mwanamke unaemuona sio sifa wala ujanja.
Fact mkuu
 
Back
Top Bottom