Mtoa mada anapaswa akapimwe afya ya ngono,Ulichobugi apo man ni kufananisha hisia za mwanamke na mwanaume. Huwezi kuta mwanamke anaspend pesa nyingi au kutafuta wanaume mtandaon simply because wao hisia zao kingono ziko mbali.
Sisi kuona tuu upaja mtu udenda ushamtoka, na ni kweli watu wengine hadi hutuma pesa kwa watu wasiowajua ili tu wapate penzi. Ni genye tu mkuu.
Na suluhisho ni kama ulivosema ni kuomba Mungu na kujitambua. Ila mkuu sio wote wanaofata manzi dm ni kua wanataka kungonoka wengine wana mambo yao tu ila ndo ivo kwasababu asilimia kubwa ni wa ngono ko na wao wanaangukia humo.
Kamwe,Ujumbe kwa Wanaume wote mnakumbushwa kuacha tabia ya kutongoza hovyo hovyo.
Mtoa mada ananiangusha Sana[emoji3525]Mwanaume hauwezi kujitenga na papuchi....
Ila mwanamke unaweza kujitenga na dushe Evelyn SaltMwanaume hauwezi kujitenga na papuchi....
umeongeA fact KABisa,Tunatofautiana kwenye hiyo unaiita njaa ya ngono.
Kuna ambao wana njaa kali, wenye njaa ya kadri , wenye njaa kidogo,, na pengine wasio na njaa kabisa.
Pengine wewe hauna njaa kabisa hivyo huu ushauri wako utatua vema kichwani kwa asiye na hiyo njaa kama wewe. Kwa mwenye njaa kali atakuona unaongea mauzauza, atahisi unajaribu tu kuwa smart machoni pa watu ila una mambo yako ya chinichini. View attachment 1901467
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
HaiwezekaniIla mwanamke unaweza kujitenga na dushe Evelyn Salt
Siyo kweli, kujiendekeza tuWanaume tUkishiba Lazima mawazo yanayofuata ni hayo mambo tu [emoji23][emoji23]
Alaumiwe Adamu
MmhMwanaume hauwezi kujitenga na papuchi....
Hiyo kama maji kaka...
Fact mkuuNimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada ambaye in real life humjui hakujui, Utakuta dm ya mdada imejaa sms toka kwa wanaume 9 tofauti, na hajawajibu hata mmoja bcoz Wote hawafahamu, sisemi its wrong kumtongoza mdada, ila tunatumia platform mbovu inayotufanya wanaume Tuonekane tuna njaa sana na ngono, ndio maana wanaume tunadharaulika.
Mtu unatumia laki 6 kumuhonga mdada uliekutana nae juzi Ili akupe penzi wakati huyo mdada hata hakujali, ukute hata hajakuomba io hela, hakuthamini, hajawahi kukupa Papuchi na hatokaa aje kukupa papuchi, wakati mdogo wako wa kike Kule kijijini hana hata sketi mbili na amekosa tshs elfu 80 ya ada..ila kijana mdogo wa kiume unawekeza hela kwenye ujinga, nilisoma mtandaoni kwa nchi kama Marekani kuna baadhi ya wanaume huwapa wanawake ambao wamekutana nao cku mbili zilizopita hadi usd 5000 (Tshs million 11) ili tu wapate mzigo mara nyingi hao wanaume hawapati hata busu toka kwa hao wanawake achilia mbali papa yenyewe.
Kwenye sekta ya mahusiano naona kwa kiasi fulani wanawake wametuzidi akili, huwezi kuta mdada amekaa anaanza kutuma sms Za kimapenzi kwa wanaume asiowajua mtandaoni, huwezi kuta mwanamke anatumia asilimia 60 ya mshahara wake kuwapa wanaume wanne tofauti ili afanye nao mapenzi.
Wanaume tuache wenge na tupunguze njaa ya ngono, tu-focus kwenye kujijenga kiroho (Tumtafte Mungu) tujijenge kiuchumi kwa manufaa yetu, ya ndugu zetu, Wake na watoto, watu jirani wanaotuzunguka na taifa kwa ujumla.
Kulala na wanawake wengi au kulala na kila mwanamke unaemuona sio sifa wala ujanja.
Wewe huongi?Afu hao unaowahonga ukute wana mbunye za ajabu kinoma, kumpa pesa mwanamke asie kuhusu ni uboya
Aisee sina mzuka wa kuhonga kabisa..wanawake nawachukulia kama unstable creatures who are there to cause troubleWewe huongi?
Wengine hawana kuku wao.Cha msingi kila mtu ale kuku wake.
Kweli dada japo siyo kweli kabisaHiyo kama maji kaka...
Kaka K ni i can't live without you....Kweli dada japo siyo kweli kabisa
Babu utaishi vipi bila kuhonga?Aisee sina mzuka wa kuhonga kabisa..wanawake nawachukulia kama unstable creatures who are there to cause trouble