Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

Hili bango refu sana ila haliko kwenye uhalisia.

Pesa ya mwaume huliwa na mwanamke ambaye sio ndugu. Mambo yote tunayofanya kwa asilimia kubwa ni kwa ajili ya mwanamke.

Na kama umejua siri ya dm za wanawake basi wewe ni mtu wa wanawake na ndio mtumaji wa sms 60 mfululizo.

Wanaume tutafute pesa tutaondokana na sonona ya mahusiano na pesa
 
Tumeuona hasa sema unataka kupigwa wapi mashavuni au matakoni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nakubali TAKO ndio shidaaaa

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa,
Mtoa mada atafute Pesa, itampunguzia MDA wa Kujieleza Sana dm[emoji2]
 
Kuna mambo kiuhalisia ni magumu kuyakubali ingawa huwa ndiyo ukweli wenyewe
 
Kuna demu nilimtongoza juzi anipe papuchi kanitukana wakati huo alikua ana hela zangu. Shenzi
 
Sitongozagi kwenye mitandao kabisa Mie kidume Baba hahahaha

Eti nimtongize hata simjui naanzaje hivi labda kumporomoshea matusi Tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lkn nshatongizwa na bi Dada hawa Dada zetu hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wana mambo
 
mwanaume anafanyaga maamuzi ya kipumbavu sana akiwa na nyege.

kama ni mtu wa kubet akishinda laki anatafuta pisi inayomsumbua anaenda kula nae bata mpaka hela inaisha, kesho anarudi nyumbani na buku 5 ya supu asubuhi.

Mtoto wa daudi alimbaka dadaake kwasababu ya nyege.. alipomaliza akamfukuza (2 Samweli 13:1-16)

Mfalme Daudi alimgegeda mke wa askari wake pindi askari yupo vitani. (2 Samweli 11:1-4)

Yani mwanaume akisimamisha, akili yote inahamia chini. ndo mana malaya wajanja, kabla hujamtafuna anataka umpe chake mapema kabla akili hazijakurudia.. anajua ukishatoa wazungu tu akili zinarudi juu.. huchelewi kurudisha muamala uliokosewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwahio bro usishangae watu wanaohonga wanawake mahela mengi mengi, Mfalme Daudi aliua na kuua wakati yeye ndie mwenye makosa.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mungu awapiganie kaka zetu aisee, nani aliandika majuzi hapa kuwa mwanaume akiweza kucontroll tamaa zake za mwili ataweza kucontroll vitu vingi sana maishani.
Kwa neema za Mungu. Shetani anatumia ngono kama tools kubwa sana ya uharibifu wa nafsi na maisha ya watu, sio kwa wanaume au wanawake.. na ukitaka lione tazama mitindo ya wanawake ni kichocheo pia ..
 
Itoshe tu kusema, utafiti wako inabidi urudie kuufanya upya, kuwa na mkia sio sababu tosha ya mwanaume kutochepuka, na ili uhakikishe hili ninalosema, jiulize kwani hao vimbaombao hawapati wanaume? nasikitika sana kusikia fikra finyu kwa mwanaume au la niseme wewe ni mvulana ambapo ukifika uanaume utajua ninachomaanisha.
povu ruksa coz halinitishi.
 
Dada, uliwezaje kuingia hadi DM za akina dada wenzio? Kama unajiongelea mwenyewe sawa.
 
Hii pesa nimeisikia sehemu fulani kwenye mambo ya ugaidi...
 
Mdo wanapenda hivo sasa.Wasipotakwa wanaugua hawa
 
Tafuta pesa bwa’mdogo upunguze kuteseka.[emoji276]
 
UKWELI MTUPU.....

UMETEMA MADINI MATUPU.....

Wanaume hao wanaitwa "BETA MALES".....si WANAUME MAKINI kwenye LOLOTE LILE....amini ninakuambia......
BETA MALES πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Imeendikwa muishi nao kwa akili

Mithali 6:32​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…