Wanaume tuliangalie na hili pia!

Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
 
🤣🤣🤣🤣.....mi naona hii inachangia sana kuzagamuliwa nje
 
Kama huyu?
 

Attachments

  • IMG-20220823-WA0081.jpg
    24.9 KB · Views: 10
[emoji3][emoji2][emoji2] umeona ee. Na tunazagamuana kweli kweli Mungu atusamehe.
🤣Ni mwendo wa kumwagiana tu na wenye wake kuendelea kulea watoto SI wao🤸🤸😳🚴🚴
 
Ukiona hivyo hajapenda mkuu, mwanamke akipenda ataiba hizo hela kwao akuletee ufanye maisha, tafuta wa level yako mbona maisha ni haya haya mkuu.
Sometimes wazee wetu zaman kitendo cha kutowapelekq shule kilisaidia maana wakifanikiwa nishida hawa wa2 kwa sababu nguo za ovyo atanunua kwa mpunga wake anawesa ishi kama men kujihudumia ndio tunarud pale kuonekana 🐄et kwa kumwambia nguo hii stak wakat ulimkuta nayo mda mwingine we mwenyew umemletea kama zawadi
 
🤣🤣🤣Anakuona mbwa Tena🤣🤣
 
[emoji1787]Ni mwendo wa kumwagiana tu na wenye wake kuendelea kulea watoto SI wao[emoji1732][emoji1732][emoji15][emoji468][emoji468]
Sema wake za watu nao watam ni km kilevi flani ivi ukishaonja hutamani kuacha. Kwanza wasiri, wanafika on time, sio expensive Sana na Wana heshima kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…