Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanafeli ndio kama hao unaowazungumza si kwamba hawaoni tatizo ila wameshindwa namna ya kulitatua.Wenzio wanaoa na uwabadilisha pia
Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.Maana Nyie Ndo kichwa Cha familia.Samahani naomba niwaulize,Ivi suala la mavaz ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?
Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani,au Ndo uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mi ni mtakatifu noo,huenda mi Ndo siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.
Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakin nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana[emoji1751].Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..
Mbona kama mmekua mkia,hamna sauti Yaan[emoji1787][emoji87]
Hahahahahahha Sensa ya Watu na MakaziChombo chako kinachoweza kukesha😉
🤣🤣🤣🤣.....mi naona hii inachangia sana kuzagamuliwa njeMadame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
Hahah na ukicheza na ukichaa anakupaa😂🤣🤣🤣Atakuona fala tu
Kama huyu?Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
🤣Huyo sidhan kama ana hata mawazo ya kuishi na mume😳
[emoji3][emoji2][emoji2] umeona ee. Na tunazagamuana kweli kweli Mungu atusamehe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....mi naona hii inachangia sana kuzagamuliwa nje
Sometimes wazee wetu zaman kitendo cha kutowapelekq shule kilisaidia maana wakifanikiwa nishida hawa wa2 kwa sababu nguo za ovyo atanunua kwa mpunga wake anawesa ishi kama men kujihudumia ndio tunarud pale kuonekana 🐄et kwa kumwambia nguo hii stak wakat ulimkuta nayo mda mwingine we mwenyew umemletea kama zawadiUkiona hivyo hajapenda mkuu, mwanamke akipenda ataiba hizo hela kwao akuletee ufanye maisha, tafuta wa level yako mbona maisha ni haya haya mkuu.
Duh! Karibia tuishi kama mbuzi ukimuona jike unapanda kimoja cha fasta then kila mmoja na habari zake.Kama huyu?
🤣🤣🤣Anakuona mbwa Tena🤣🤣Sometimes wazee wetu zaman kitendo cha kutowapelekq shule kilisaidia maana wakifanikiwa nishida hawa wa2 kwa sababu nguo za ovyo atanunua kwa mpunga wake anawesa ishi kama men kujihudumia ndio tunarud pale kuonekana 🐄et kwa kumwambia nguo hii stak wakat ulimkuta nayo mda mwingine we mwenyew umemletea kama zawadi
Kama huyh
Hyo kashajichokea apoHuyo sidhan kama ana hata mawazo ya kuishi na mume😳
Sema wake za watu nao watam ni km kilevi flani ivi ukishaonja hutamani kuacha. Kwanza wasiri, wanafika on time, sio expensive Sana na Wana heshima kinoma.[emoji1787]Ni mwendo wa kumwagiana tu na wenye wake kuendelea kulea watoto SI wao[emoji1732][emoji1732][emoji15][emoji468][emoji468]
Dawa kutafuta mtoto wa kizanzibar tuu unakuta mzigo namba DZZ sio hawa na tabia zao🤣🤣🤣Anakuona mbwa Tena🤣🤣