Wanaume tuliangalie na hili pia!

Wanaume tuliangalie na hili pia!

Maana Nyie Ndo kichwa Cha familia.Samahani naomba niwaulize,Ivi suala la mavaz ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje?

Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani,au Ndo uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mi ni mtakatifu noo,huenda mi Ndo siyo mkamilifu kabisa ila tu naona kama wanajiachia mno humo barabarani na nguo zinazoonyesha maungo ya ndani.

Naweza Bora Islamic women kidogo hujisitiri lakin nao baadhi Yao naona wamechoka kujivika nguo zao hizo,sijui ni nzito? Au zitakuwa na joto sana[emoji1751].Ningeweza kushauri kuwa wanawake wenzangu tujisitiri tuonekane kweli tumeheshimishwa lakini naongea na Nyie mnaosema sisi ni vichwa vya familia ..

Mbona kama mmekua mkia,hamna sauti Yaan[emoji1787][emoji87]
Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
 
Attachments

  • IMG-20220515-WA0042.jpg
    IMG-20220515-WA0042.jpg
    21.8 KB · Views: 10
Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
🤣🤣🤣🤣.....mi naona hii inachangia sana kuzagamuliwa nje
 
Madame ukiachika nitext nipo sub nakusubiri... By the way ukienda kinyume na mafundisho ya M Mungu huwezi kuwa salama. Tulio wengi tunaishi kwa vile akili zetu zinavyotutuma na kwa kuwa hatuna muongozo wa Sawa basi tunafanya kila tunachovutiwa nacho . Mwisho wa siku wadada wanajikuta kwenye Bikini na wakaka tunajikuta kwenye boxa maisha yanaendelea.
Kama huyu?
 
Attachments

  • IMG-20220823-WA0081.jpg
    IMG-20220823-WA0081.jpg
    24.9 KB · Views: 10
[emoji3][emoji2][emoji2] umeona ee. Na tunazagamuana kweli kweli Mungu atusamehe.
🤣Ni mwendo wa kumwagiana tu na wenye wake kuendelea kulea watoto SI wao🤸🤸😳🚴🚴
 
Ukiona hivyo hajapenda mkuu, mwanamke akipenda ataiba hizo hela kwao akuletee ufanye maisha, tafuta wa level yako mbona maisha ni haya haya mkuu.
Sometimes wazee wetu zaman kitendo cha kutowapelekq shule kilisaidia maana wakifanikiwa nishida hawa wa2 kwa sababu nguo za ovyo atanunua kwa mpunga wake anawesa ishi kama men kujihudumia ndio tunarud pale kuonekana 🐄et kwa kumwambia nguo hii stak wakat ulimkuta nayo mda mwingine we mwenyew umemletea kama zawadi
 
🤣🤣🤣Anakuona mbwa Tena🤣🤣
 
[emoji1787]Ni mwendo wa kumwagiana tu na wenye wake kuendelea kulea watoto SI wao[emoji1732][emoji1732][emoji15][emoji468][emoji468]
Sema wake za watu nao watam ni km kilevi flani ivi ukishaonja hutamani kuacha. Kwanza wasiri, wanafika on time, sio expensive Sana na Wana heshima kinoma.
 
Back
Top Bottom