Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Hapana mkuu mimi sijawahi na sitarajii kufanya kitu kama hicho ila nimeandika tu kutokana yaliyopo mtaani
Mimi Siamini mpaka nikutafte nithibitishe hili maana Kuna mahali pia nimekuona😃
 
Na wachapaji inafikiA hatua wanajisifu na kuwatukana wuame halisi wa Ndoa....


 
Tuishi tukiamini kuwa mumeo/mkeo ni wako peke yako.

Ikiwa utajua anachap(w)a nje(na ex au mtu mwingine yeyote), huna budi kuachana naye mara moja!!

Sababu: amevunja kiapo cha uaminifu.
 
Mkuu hata wewe wanamtafuna wa kwako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha jamaa mmoja headmaster wa secondary alisafiri na mkewe kwenda kijijini kwao mwanamke kuhani msiba (ni mkoa flani kanda ya ziwa)
Walipofika huko kumbe kuna ex wa mkewe jamaa mmoja tena mwanakijiji mchafu mchafu hivi mke anamuaga jamaa usiku anamwacha chumbani peke yake eti anaenda kulala chumba cha wadogo zake wa kike akague madaftari yao na kuwashauri kuhusu masomo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa akawa anamkubalia mke anaenda anarudi alfajiri eti amelala na wadogo zake kumbe anapigwa pumbu na yule mwanakijiji jirani yao kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hahaha
 
Usichokijua akikuumizi, bora kitulia tuu na kutokumfatilia, ukimfatilia na ukija kujua kama anachepuka then what next..


Usimfatilie maisha yaendelee
 
Usichokijua akikuumizi, bora kitulia tuu na kutokumfatilia, ukimfatilia na ukija kujua kama anachepuka then what next..


Usimfatilie maisha yaendelee
Yaani umeshajua anachepuka then unauliza what next..? 😳🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…