- Thread starter
- #321
Ule uhusiano mkiwa wapenzi ni tofauti na mnavyokuwa kwenye ndoaInasaidia pakubwa sana.mwanamke akikupenda huwa hachepuki.labda wew uanze kuwa na mapungufu kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule uhusiano mkiwa wapenzi ni tofauti na mnavyokuwa kwenye ndoaInasaidia pakubwa sana.mwanamke akikupenda huwa hachepuki.labda wew uanze kuwa na mapungufu kwake.
Kumbe ndio mnapeana moyo hivi wachepukaji?
Mimi Siamini mpaka nikutafte nithibitishe hili maana Kuna mahali pia nimekuona😃Hapana mkuu mimi sijawahi na sitarajii kufanya kitu kama hicho ila nimeandika tu kutokana yaliyopo mtaani
hahah wewe jamaa hii comment yako sijui uliwaza niniMambo ya kimfuatilia Ex wa wife ili kitokee nini? Kila mtu ana deal na EX wake
Wewe ndio mwanaume wa shokaSawa tu wala sina muda na hayo mambo ya ngono
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
kabisa mkuuNa wachapaji inafikiA hatua wanajisifu na kuwatukana wuame halisi wa Ndoa....
duuuhmajuzi kati nimemkula x wangu ambaye anaujauzito usiopungua miezi 5 adi siamini yani
Mkuu hata wewe wanamtafuna wa kwako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
hahahaMkuu hata wewe wanamtafuna wa kwako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha jamaa mmoja headmaster wa secondary alisafiri na mkewe kwenda kijijini kwao mwanamke kuhani msiba (ni mkoa flani kanda ya ziwa)
Walipofika huko kumbe kuna ex wa mkewe jamaa mmoja tena mwanakijiji mchafu mchafu hivi mke anamuaga jamaa usiku anamwacha chumbani peke yake eti anaenda kulala chumba cha wadogo zake wa kike akague madaftari yao na kuwashauri kuhusu masomo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa akawa anamkubalia mke anaenda anarudi alfajiri eti amelala na wadogo zake kumbe anapigwa pumbu na yule mwanakijiji jirani yao kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Siamini mpaka nikutafte nithibitishe hili maana Kuna mahali pia nimekuona😃
huko nyuma ya keyboard, tutaonana tuWapi huko?
Yaani umeshajua anachepuka then unauliza what next..? 😳🤔Usichokijua akikuumizi, bora kitulia tuu na kutokumfatilia, ukimfatilia na ukija kujua kama anachepuka then what next..
Usimfatilie maisha yaendelee