Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

nadhani hujaelewa point yangu
 
Wewe huwa unawala ma ex wako?
mimi Ma - Ex zangu wote ni rafiki zangu, ambao hawajaolewa, NDIO nawala mara chache inapotokea.
walioolewa umebaki urafiki tu sijawahi kula mke wa mtu na sifikirii hivo
 
Mwanamke akikuchiti na umeshuhudia kwa kuwaona live au kwa ushahidi wa maandishi kama text hivi.unapata wapi? Ujasiri wa kumsamehe
 
Kwanza lazima ifahamike kuwa wapenzi huwa hawaachani isipokuwa huwa wanatengana kwa tofauti zao,,
Hivyo kufuatilia X wa mpenzi wako ni sawa na kujaza pipa maji kwa kisoda,,,utakesha zaidi ikikuuma nawe kapashe kiporo huko buza
 
Aiseee..whatever bwana .
Tusiwekane roho juu
 
Kwanza lazima ifahamike kuwa wapenzi huwa hawaachani isipokuwa huwa wanatengana kwa tofauti zao,,
Hivyo kufuatilia X wa mpenzi wako ni sawa na kujaza pipa maji kwa kisoda,,,utakesha zaidi ikikuuma nawe kapashe kiporo huko buza
😀 😀
 
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Hawa majamaa ni wajinga sana, yaani wanatulia kabisa, na inauma kwa kweli. Lakini na mimi sipo nyuma, nimemlia jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…