Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Ila kiukweli ukichunguza sana huwezi kuoa[emoji23][emoji23][emoji23].. Hata bikra huwa na Ex wake mi ninae hapa kaniambia ana ma Ex wa3[emoji119][emoji119]!
sasa hao jamaa lazma kuna siku tu watachapa mzigo tena
 
Hii ni sababu ya mke pia kuwa makini na Mume na ex zake.
Dhambi ya mke kuchepuka haisameheki, wanaume wa kiafrica ni asili yetu tunaweza kuona wake hata zaidi ya mmoja.
 
Kuna jamaa yangu mmoja, alimruhusu mke wake kutembelewa nyumbani na ex wake. Huwa natafakari sana, alikuwa na moyo gani?
 
Hapana alama pale mkuu utateseka bure. Pia hyo tabia ya uchoyo / ubepari amekufundisha nan???
 
Sioni faida yake, mana ukimjua ni lazima furaha yako itapotea tu. Kama anakupa furaha, anatimiza wajibu wake baki tu kujua kuwa huyu ni mume wangu na ananipenda au huyu ni mke wangu na ananipenda basi lakini si kuwaza vinginevyo kuwa muda huu mwenzangu anachepuka au yuko na mtu fulani, hautakuja kuwa na furaha kamwe...ishi kama uko peke yako hakuna mwenzako na siku ukishuhudia kwa bahati mbaya ndipo unatakiwa kufanya maamuzi papo apo bila kuweweseka au kujiuliza mengine. Mi huwa nipo hivyo, mpenzi wangu huwa namuona ni wa kwangu tu peke yangu, huwa simuwazii mabaya eti anachepuka. Ila siku nikianza kuona utofauti na ninashughudia. Huwa natoa maamuzi ya haraka sana. Tena naweza ata nisimwambie ila upendo moyoni unatoka tu wenyeweee atakuja gundua taratibu taratibu.
The Most Winner
Chukua pepsi kwa mangi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana boss mimi nadhani ni vema kumjua mwizi wako
Kumjua haisaidii kitu bosi,hata bila juhudi za wewe kutaka kumjua kuna wengine wanafunguka kwa kukueleza ukweli kuwa Paploman alikuwa mtu wangu,ila alinitenda na sitaki hata kumsikia,lakini huyohuyo utakuja kushangaa analiwa na huyohuyo,,,
 
Sasa wewe unataka tufahamiane dunia nzima... unamuhofia Ex wa mkeo, nawe kuna mtu anakuhofia hukoo... na yeye anahofiwa na mwingine kwingine... SASA SHIDA YOTE YA NINI? Na sisi tuliojaza YOUTONG YA MA-EX, unataka tuhofiwe na wangapi? Kifo cha wengi ni harusi, we piga sherehe tu..!!
 
Kumjua haisaidii kitu bosi,hata bila juhudi za wewe kutaka kumjua kuna wengine wanafunguka kwa kukueleza ukweli kuwa Paploman alikuwa mtu wangu,ila alinitenda na sitaki hata kumsikia,lakini huyohuyo utakuja kushangaa analiwa na huyohuyo,,,
😀 😀 jamaa kwamba😀😛😛
 
Back
Top Bottom