- Thread starter
- #21
Hawa wake zetu wanaliwa boss sana lakini kwa siri mno.Siwezi kufuatilia mtu, ila nikijua tu amenisaliti..iwe kwa X, Y, au Z njia zetu zitatengania hapo. Tutalea tu mtoto kwa namna itakayowezekana, ye mwenyewe analijua hilo kwa sababu yeye alikua rafiki tu na alikua anamfahamu aliyekua mpenzi wangu ambaye mimi niliachana nae kwa sababu ya usaliti ndo kisha akaingia yeye
Hata huku ofisini nayashuhudia haya, watu wananyanduana