Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Siwezi kufuatilia mtu, ila nikijua tu amenisaliti..iwe kwa X, Y, au Z njia zetu zitatengania hapo. Tutalea tu mtoto kwa namna itakayowezekana, ye mwenyewe analijua hilo kwa sababu yeye alikua rafiki tu na alikua anamfahamu aliyekua mpenzi wangu ambaye mimi niliachana nae kwa sababu ya usaliti ndo kisha akaingia yeye
Hawa wake zetu wanaliwa boss sana lakini kwa siri mno.
Hata huku ofisini nayashuhudia haya, watu wananyanduana
 
Sijui kwanini Ex asilimia nyingi huwa hawaachani, naona huwa wanapumzika then penzi la mume ama la mke likipoa tu, wanaanza kutafuta viporo vyao popote pale vilipo kisha wanapasha.
hata wewe bado unaliwa?
 
Personally nilishaachaga kuumiza kichwa na kitu kilicho out of my controll especially mwanamke wew timiza tu wajibu wako ipasavyo fullstop
 
Personally nilishaachaga kuumiza kichwa na kitu kilicho out of my controll especially mwanamke wew timiza tu wajibu wako ipasavyo fullstop
simaanishi hivo boss, nadhani unafahamu faida za kumjua mwizi wako?
 
hujui faida ya kumjua mwizi wako?
Sioni faida yake, mana ukimjua ni lazima furaha yako itapotea tu. Kama anakupa furaha, anatimiza wajibu wake baki tu kujua kuwa huyu ni mume wangu na ananipenda au huyu ni mke wangu na ananipenda basi lakini si kuwaza vinginevyo kuwa muda huu mwenzangu anachepuka au yuko na mtu fulani, hautakuja kuwa na furaha kamwe...ishi kama uko peke yako hakuna mwenzako na siku ukishuhudia kwa bahati mbaya ndipo unatakiwa kufanya maamuzi papo apo bila kuweweseka au kujiuliza mengine. Mi huwa nipo hivyo, mpenzi wangu huwa namuona ni wa kwangu tu peke yangu, huwa simuwazii mabaya eti anachepuka. Ila siku nikianza kuona utofauti na ninashughudia. Huwa natoa maamuzi ya haraka sana. Tena naweza ata nisimwambie ila upendo moyoni unatoka tu wenyeweee atakuja gundua taratibu taratibu.
The Most Winner
 
Back
Top Bottom