- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kiukweli ukichunguza sana huwezi kuoa[emoji23][emoji23][emoji23].. Hata bikra huwa na Ex wake mi ninae hapa kaniambia ana ma Ex wa3[emoji119][emoji119]!yaani hivihivi boss
Hii ni sababu ya mke pia kuwa makini na Mume na ex zake.😳 😳 hii tu ni sababu ya kumpa?
sasa hao jamaa lazma kuna siku tu watachapa mzigo tenaIla kiukweli ukichunguza sana huwezi kuoa[emoji23][emoji23][emoji23].. Hata bikra huwa na Ex wake mi ninae hapa kaniambia ana ma Ex wa3[emoji119][emoji119]!
Dhambi ya mke kuchepuka haisameheki, wanaume wa kiafrica ni asili yetu tunaweza kuona wake hata zaidi ya mmoja.Hii ni sababu ya mke pia kuwa makini na Mume na ex zake.
Usicheke mkuu pokea hiyo ndio ukweli huo
😳 ilikuaje kuaje mpaka akatoa ruhusa?Kuna jamaa yangu mmoja, alimruhusu mke wake kutembelewa nyumbani na ex wake. Huwa natafakari sana, alikuwa na moyo gani?
endeleeni kuchepukaDhambi ya mke kuchepuka haisameheki, wanaume wa kiafrica ni asili yetu tunaweza kuona wake hata zaidi ya mmoja.
hapana boss mimi nadhani ni vema kumjua mwizi wakoUsicheke mkuu pokea hiyo ndio ukweli huo
😡😡 mbona kama unaniacha laana hiviendeleeni kuchepuka
as longer as inawaongezea urefu wa maisha
Huwa natamani nije nimuulize hili swali, lakini kwa upande mwingine naona nikimuuliza naweza kuleta uchochezi😳 ilikuaje kuaje mpaka akatoa ruhusa?
hahaha maisha bhana daahHuwa natamani nije nimuulize hili swali, lakini kwa upande mwingine naona nikimuuliza naweza kuleta uchochezi
Chukua pepsi kwa mangi hapoSioni faida yake, mana ukimjua ni lazima furaha yako itapotea tu. Kama anakupa furaha, anatimiza wajibu wake baki tu kujua kuwa huyu ni mume wangu na ananipenda au huyu ni mke wangu na ananipenda basi lakini si kuwaza vinginevyo kuwa muda huu mwenzangu anachepuka au yuko na mtu fulani, hautakuja kuwa na furaha kamwe...ishi kama uko peke yako hakuna mwenzako na siku ukishuhudia kwa bahati mbaya ndipo unatakiwa kufanya maamuzi papo apo bila kuweweseka au kujiuliza mengine. Mi huwa nipo hivyo, mpenzi wangu huwa namuona ni wa kwangu tu peke yangu, huwa simuwazii mabaya eti anachepuka. Ila siku nikianza kuona utofauti na ninashughudia. Huwa natoa maamuzi ya haraka sana. Tena naweza ata nisimwambie ila upendo moyoni unatoka tu wenyeweee atakuja gundua taratibu taratibu.
The Most Winner
Kumjua haisaidii kitu bosi,hata bila juhudi za wewe kutaka kumjua kuna wengine wanafunguka kwa kukueleza ukweli kuwa Paploman alikuwa mtu wangu,ila alinitenda na sitaki hata kumsikia,lakini huyohuyo utakuja kushangaa analiwa na huyohuyo,,,hapana boss mimi nadhani ni vema kumjua mwizi wako
boss kwenye nyandu hakuna urafiki... labda huko umasainiHapana alama pale mkuu utateseka bure. Pia hyo tabia ya uchoyo / ubepari amekufundisha nan???
Kwamba asije kuiba tena... kwani wewe hofu yako ni wizi ujao, au uliokwishatokea..!?haujui faida za kumjua mwizi wako?
😀 😀 jamaa kwamba😀😛😛Kumjua haisaidii kitu bosi,hata bila juhudi za wewe kutaka kumjua kuna wengine wanafunguka kwa kukueleza ukweli kuwa Paploman alikuwa mtu wangu,ila alinitenda na sitaki hata kumsikia,lakini huyohuyo utakuja kushangaa analiwa na huyohuyo,,,