Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Na pia inaogopeshaa....hasa kwa ss tulio mbioni kuoa,
Wapo waaminifu ndugu japo ni kweli ni wachache,kuna wanawake wako na hofu ya MUNGU lakini kupoteza ndoa pia wanaogopa sana,wanajitahidi kua waaminifu isipokua wanawake wa hivyo ni wachacheIlikua zamani ambapo wanawake walijitunza sana sana na kuheshim wanaume wao sanasana.
Zaman kusikia mke wa fulan kaliwa, ilikua ni nadra.
Ila siku bwashehehehehehehe wanatiwa yaan siku hizi wake za watu wanatiwa mno.
Nikweli.Wapo waaminifu ndugu japo ni kweli ni wachache,kuna wanawake wako na hofu ya MUNGU lakini kupoteza ndoa pia wanaogopa sana,wanajitahidi kua waaminifu isipokua wanawake wa hivyo ni wachache
Ni bora nisiyemjua na nisijue kitu chochote kile.ni bora kuibiwa na mwizi usiyemjua au unaemjua ili ufanye maamuzi sahihi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
We unaomba Mungu, na yeye anaomba Mungu asifumwe,, tena kama ni muumini mzuri huwezi gunduaHili halina pingamizi kabisa ni kuomba tu Mungu!
Yaani kama vile sisi tunavyopasha viporo na wawo hawataki viporo vyao vichache!
Sawa dr. Vipi tunawapata wapi sasa,, ?Nikweli.
NDIO MAANA NAWAHIMIZA VIJANA, KUOA WANAWAKE WACHA MUNGU KWELIKWELI YAAN KWELIKWELI.
Mkuu 100%Kwanza lazima ifahamike kuwa wapenzi huwa hawaachani isipokuwa huwa wanatengana kwa tofauti zao,,
Hivyo kufuatilia X wa mpenzi wako ni sawa na kujaza pipa maji kwa kisoda,,,utakesha zaidi ikikuuma nawe kapashe kiporo huko buza
Mkuu tulia ktk maisha ya ndoa epuka kumfuatilia mwenza na pia amini ya kwamba kila mwanamke anachepuka..Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.
Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.
Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.
Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.
Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.
Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Anamvutia muda tuKuna jamaa yangu mmoja, alimruhusu mke wake kutembelewa nyumbani na ex wake. Huwa natafakari sana, alikuwa na moyo gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tulia ktk maisha ya ndoa epuka kumfuatilia mwenza na pia amini ya kwamba kila mwanamke anachepuka..
Hvyo hata ww isikupe shida wala woga kugegeda ex wako hata kama ni mke Wa mtu ww tafuna kwamaana hata wako anatafunwa.
Hakuna mwanamke Wa peke yako jombaa acha kujipa stress.
Pamoja mkuu lazima ifike mahala tuambiane ukweli japo mchunguMkuu 100%
Dah!...maneno mazito sana haya.Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control