Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.

Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.

Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.

Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.

Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.

Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Aisee...
Mila zetu haziruhusu kabisa mke wa mtu kutoka kwake kiholela hivyo.
 
Ilikua zamani ambapo wanawake walijitunza sana sana na kuheshim wanaume wao sanasana.

Zaman kusikia mke wa fulan kaliwa, ilikua ni nadra.

Ila siku bwashehehehehehehe wanatiwa yaan siku hizi wake za watu wanatiwa mno.
Wapo waaminifu ndugu japo ni kweli ni wachache,kuna wanawake wako na hofu ya MUNGU lakini kupoteza ndoa pia wanaogopa sana,wanajitahidi kua waaminifu isipokua wanawake wa hivyo ni wachache
 
Ni hatari lakini salama mambo mengine hamna sababu yakuyajua nikutafuta ugonjwa wa moyo tu
 
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.

Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.

Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.

Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.

Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.

Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbuka huyu ndo kiumbe pekee aliyeongea na shetani pale mtini tena kwa siri,, hadi leo hatujui yale maneno,, siku tukijua itakuwa tiba, kinyume na hapo funika kombe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hili halina pingamizi kabisa ni kuomba tu Mungu!

Yaani kama vile sisi tunavyopasha viporo na wawo hawataki viporo vyao vichache!
We unaomba Mungu, na yeye anaomba Mungu asifumwe,, tena kama ni muumini mzuri huwezi gundua
 
Tuliooa tusijifariji, asilimia kubwa wake zetu wanachepuka na ni ngumu sana sisi wanaume kugundua.

Mwezi uliopita tu nimeshuhudia rafiki yangu wa karibu kabisa na wa tangu utotoni anamla Ex wake alieolewa japo walikuwa mbalimbali kwa miaka zaidi ya 4. Tulikuwa mkoani kikazi na mwanamke alirudi kwao kusalimia baada ya jamaa kupata habari Ex wake waliyekuwa wanapendana karudi kijijini kwetu kusalimia akamvutia waya wakazungumza waliyozungumza.

Mwanamke akapanga safari kuja mkoa tulipo (ni mkoa jirani tu kutoka mkoa wa kijijini kwetu), aliondoka kwao akiaga anaenda kwa dada yake kumsalimia ambae anaishi mkoa tulioko kwa muda huo, nadhani hata mumewe aliambiwa hivi.

Baadaye nilikuja kugundua kupitia kwa rafiki yangu, Dada mtu alielezwa kila kitu na huyu ndugu yake kwa hiyo alikuwa ni refa mzuri sana kwenye hii mechi ili isijulikane uovu wa ndugu yake, ni kwamba huyu rafiki amekula mzigo wa huyu Ex wake kila siku alipokuwa anapata nafasi kipindi chote tulipokuwa hapo mkoani mpaka tunaondoka.

Hawa watu sio maskini, wote wako vizuri kiuchumi sio jamaa yangu, huyu Ex wake wala mume wake Ex useme labda ni shida zimepelekea haya.

Japo hata mimi siwafahamu kabisa ma-Ex wa mke wangu lakini hili limenipa funzo kwamba yawezekana hata wangu analiwa kimfumo huu.
Mkuu tulia ktk maisha ya ndoa epuka kumfuatilia mwenza na pia amini ya kwamba kila mwanamke anachepuka..

Hvyo hata ww isikupe shida wala woga kugegeda ex wako hata kama ni mke Wa mtu ww tafuna kwamaana hata wako anatafunwa.

Hakuna mwanamke Wa peke yako jombaa acha kujipa stress.
 
Mkuu tulia ktk maisha ya ndoa epuka kumfuatilia mwenza na pia amini ya kwamba kila mwanamke anachepuka..

Hvyo hata ww isikupe shida wala woga kugegeda ex wako hata kama ni mke Wa mtu ww tafuna kwamaana hata wako anatafunwa.

Hakuna mwanamke Wa peke yako jombaa acha kujipa stress.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

GG
 
Shetani amapewa mamlaka ya kupepeta watu kama ngano
 
Iko hivi: 1 wokorintho 6:16

Hamjui kwamba mtu aushirikishaye mwili wake na kahaba ana kuwa mmoja naye kimwili? Maandiko yanasema, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Kufanya mapenzi na mwanamke ni kuwa mmeweka agano la kudumu kati yenu.

Hii ya kusema ndoa za siku hizi hazidumu ni kweli hazidumu kwani ni kinyume na MPANGO WA MUNGU, KUMBUKA CHOCHOTE KINYUME NA MPANGO WA MUNGU HAKIDUMU. (Hii ya kusema tumuachie mungu ni kujifariji, na sio dhambi endelea tu. Amin hakuna lolote litatokea)

Sasa unaweka vikao vya harusi miezi minne au zaidi. Mnakusanyika na kukusanya michango huko na huko. Siku ya harusi mwenyewe unavika pete ya bei mbaya, na magoti unapiga, na machozi unamwaga mwenyewe. Haneymoon unakwenda kule na kule

Mika miwili mbona mingi, bi dada ana mtu wa moyoni mwake , ana hisia naye. labda tu jamaa tofauti iko kwenye dini, au hana kipato au hana elimu, au ndugu hawampendi au .... au ...... au..........

Kuna vikoba siku hizi kila mtu mke anashiriki, huko kuna upenyo huko. Hukio kuna kutafutiwa mabwana huko
Kuna hii ya kwenda msibani sijui kijijin kwao, huko ndio kuna aliyefungua soda toka kiwandani, anapiga vizuri tu.

TUKO KWENYE ENZI AMBAYO KUWA MWAMINIFU NI KOSA KUBWA SANA NA NI KINYUME NA HAKI ZA VIUNGO VYA BINADAMU.

#TUENDELEE KUFANYA MATUSI
 
Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana
..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako..
..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
Dah!...maneno mazito sana haya.
 
Back
Top Bottom