Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Watu wanaiba mali za umma aseee
Hujasikia ripoti ya CAG huko ni kisanga tu
Mkuu nimeuona Uzi unaoizungumzia ripoti ya CAG bt sijausoma ngoja niutafute nijue Nini kinaendelea huko TzWatu wanaiba mali za umma aseee
Hujasikia ripoti ya CAG huko ni kisanga tu