Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Watu wanaiba mali za umma aseee
Hujasikia ripoti ya CAG huko ni kisanga tu
Mkuu nimeuona Uzi unaoizungumzia ripoti ya CAG bt sijausoma ngoja niutafute nijue Nini kinaendelea huko TzWatu wanaiba mali za umma aseee
Hujasikia ripoti ya CAG huko ni kisanga tu
Mkuu sijaisoma hiyo ripoti bt Uzi wake nimeuonaKenya hamjambo hapo mkuuuu π°πͺπ°πͺπ·π·
Acha tu mkuu acha asses trillioni 6 zinagawanwa na watu 12 tu daaaaahMkuu sijaisoma hiyo ripoti bt Uzi wake nimeuona
Mkuu hivyo ndivyo ilivyo Katika nchi za Afrika,hata huku kwetu Ni majanga Bora huko kwenu,hivi nikuulize huko kwenu mbunge analipwa sh' ngapi kwa Mwezi Kama mshahara?Acha tu mkuu acha asses trillioni 6 zinagawanwa na watu 12 tu daaaaah
Acha niishie hapo tu
Millioni 11 tshs bado marupurupu hapo nyie huko vipiMkuu hivyo ndivyo ilivyo Katika nchi za Afrika,hata huku kwetu Ni majanga Bora huko kwenu,hivi nikuulize huko kwenu mbunge analipwa sh' ngapi kwa Mwezi Kama mshahara?
Millioni 11 tshs bado marupurupu hapo nyie huko vipi
Jesuuu sempengu π€¨π€¨π€¨ duuh 20m.inasoma sasa huyo si kama mfanyabiashara mkubwa tu daaah asee πππKwetu mbunge analipwa KSh 750,000, ukiongeza marupurupu inafika milioni
Vipi Hali ya maisha huko Tz ikoje? Hivi Kuna unafuu wa maisha huko mkuu?Jesuuu sempengu π€¨π€¨π€¨ duuh 20m.inasoma sasa huyo si kama mfanyabiashara mkubwa tu daaah asee πππ
Njoo Makulu Desire Pub ujichukulie watoto wa kigogo hapa japo hawapatani na maji utawavumiliaNiko Udom, CHS mwaka wa tatu huu kila demu anikataa!
Sadhoursπ€π€
Unafuu upo kwa wajanja mkuuu ukikaaa ki zombie zombie umeliwa kichwa tuVipi Hali ya maisha huko Tz ikoje? Hivi Kuna unafuu wa maisha huko mkuu?
Sukari kilo Moja inauzwa sh' ngapi huko? Kwetu Ni Ksh 130Unafuu upo kwa wajanja mkuuu ukikaaa ki zombie zombie umeliwa kichwa tu
Watu wenye uthubutu ndo wanaotoboa tu hawa makurumbembe wengine hamna kitu hapo aseee ππππ
Sisi huku ni likewise 2400 mpaka 2800 hapo katiSukari kilo Moja inauzwa sh' ngapi huko? Kwetu Ni Ksh 130
Kenya saivi tumekumbwa na financial crisis na hiyo imepelekea maisha kuwa magumu Sana.Hata shilingi yetu imeshuka thamani kwa kiasi kikubwa SanaSisi huku ni likewise 2400 mpaka 2800 hapo kati
Sisi huku ni likewise 2400 mpaka 2800 hapo kati
Duuh asee kuna kipindi ilikuwaN
Kenya saivi tumekumbwa na financial crisis na hiyo imepelekea maisha kuwa magumu Sana.Hata shilingi yetu imeshuka thamani kwa kiasi kikubwa Sana
140Ksh=1 US Dollar
1Ksh=18 Tsh
OMG nimetamani kulia michozi[emoji24][emoji24]Acha tu mkuu acha asses trillioni 6 zinagawanwa na watu 12 tu daaaaah
Acha niishie hapo tu
Una mawazo kama Yangu Kamanda.Mmmmmh acha zako ww mi najua hata nikipata hela π°π°π°π° nita attract malaya tu mkuuu
Nina wenzangu chuoni wana vihela vya kawaida ila bado mademu wanawahonga pesa ili wawe nao
Mi natafuta hela ili nisaidie masikini mkuuu
Sio kwa ajili ya wanawake ntatafuta mmoja nimpe. Hela anizalie nimtupe huko
Reference ni ashraf yakimi ππUna
Una mawazo kama Yangu Kamanda.
Akili zimo ndio zitanisaidia kupata hela in Gods grace πNavojua mnakuaga japo na akili zinawasaidia kupata chochote kitu sasa sura mbaya ela huna akili huna aisee
So sad aseee π₯π₯π’OMG nimetamani kulia michozi[emoji24][emoji24]