Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Sex is overrated play safe Kama kijana usikubali kutafta Matatizo Ambayo yataharibu bajeti yako ya Maisha . Sex is overrated play safe
Maana mtaji wetu sisi hustler ni Afya
Fact...
 
Niki andaa tuzo zangu za heshima kwenye hii gemu ntakuwekea mkuu.........una anzaje kua MWANAUME wakati hata 50 hujafikisha...haya sio maneno yangu ni maneno ya mpira njia...

πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…