Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Ni kaswende.. syphilis..huu ugonjwa unashambulia mdogomdogo lakini Ni hatari unaweza kuharibu Hadi ubongo ukawa kichaa..
Ni kweli kwani niliupata 2005 kwenda hospitali ilikuwa either 2006 au 2007 na nilimueleza dr kuwa mbona sijagusa mwanamke kavukavu muda mrefu. Akaniambia Neno hilo. Vidada vya majani mapana, nguvumali, Kisosora, Mwanzange na mwakidira ndio viliniambukiza hsyo.
 
Acha kabisa[emoji22][emoji22] Hiii kitu ilinifanya nile ada ya second term form five,2005,kwa kujitibia.Sitasahau.Ajabu nilipomwambia mhusika tulipoonana akakana kabisa kuwa hana!
 
Tembeeni ila kumbukeni kuna kaswende sugu (syphilis), kuna watu imegoma kabisa kuwatoka, kaswende uzuri wake ina kipimo kama cha HIV, ukimpima mwenzio hiv mpime na kaswende, ile kitu sio poa, sasa hii kaswende kwa mwanaume huwa haionekani chap kama mwanamke, yaani wao huwahi pata dalili, ina dawa yake moja inaitwa Benzathine penicillin aka Penadu, maumivu yake sio ya nchi hii, dawa nzito kama uji ikiingia kwenye nyama inawaka moto
 
Wahuni mnapitia.....
 
Hiyo kitu mi niliipata zamani sana.kuna kitoto kilikuwa kinaitwa mwajei kiko bomba hata vinyonyo hamna!kwa miaka hiyo niko chalii sikujua hata kana miaka mingapi.niliingiza tuu chap na wazungu hao sikupiga hata tako 3.

Kesho yake mchana naona chupi inanata kwnye ndonga.nikajua lbd ni vishaawa tuu.jioni unajua ndo magonjwa mengi yanaanza kufumuka.nikaanza kuliskia sasa mzeeiyaa..nikamwambia tu bro.

Akanipeleka kwa nesi fulani hapo tulipitia famasi tukanunua gentamycine(sio popoma)ile ya vimaji na sindano 2.

Nikapigwa tako zote hapo nikaenda kulala.nikapona kabisa.
Eti sio POPOMA
 
Naomba jibu maana kuna harufu lazima ikukimbize au ulikua na mafua ?
Hata Kama Ni mafua, k iliyooza harufu yake Ni tofauti kabisa na Ile harufu natural ya k ambayo inamvuto.
Kama umeshawahi kununua samaki wabichi halafu ukawasahau kwenye buti ya gari Kama siku tatu hivi, hiyo harufu yake ndio harufu ya k gonjwa.
 
Umelamba uvundo wa k ? Aah cumamake wallah ungepata gono ya mdomo
Gono ya mdomo alipata. Sema gono linaonekana fasta kwenye abdala kichwa wazi kabla ya mdomoni. Alivyotibiwa sehemu zote zilipona pamoja. Sema tu MTU mwenye gono mdomoni anatoa harufu mbaya Sana mdomoni. Hii inawakumba wadada wenye tamaa wanaokimbilia kula koni kwa watu wasio na uhakika nao. Kuna jingine la msalani, kwa wadada wanaotoa tigo. Wapenzi wengi wa tigo hawavaagi Kinga Ile kuusikilizia utamu vzr matokeo yake unamkuta mdada amekaa kimtindo kwenye siti ya daladala na wepesi wa kupisha wazee kwenye siti.
 
Hahaaaaaa, sijui ni gono au kaswende ila sitaki kukumbuka. 2005 nilitembea na Dada mmmoja, Nilianza kukojoa mkojo wa njano na jamaa kuuma then vikaanza vipele na kujikuna. Ugonjwa ule ulikaa muda mrefu na nilipoenda Galanos, wanafunzi wenzangu wakanishtukia maana sio kwa kujikuna vile mpaka najisahau. Wakanishtukia mwisho nikaenda Hospitali pale Tanga. Siwezi kusahau yale Masindano na madonge. Zile sindano ni kubwa ile mbaya.
Ukapigwa sindano ya ng'ombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom