Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Sasa hii sii balaaa....watu wanavaa condom za nini tena
Mimba na Ngoma.
Gono lile omba tu mtu asiwe nao. Maana gono haina cha tako moja, ile ni ukigusa tu.
Ulaya na Marekani huwa wanasema mor than 70% ya vijana ambao ni sexually active huwa wanaupata huo ugonjwa, ingawa wanakiri cha cha kuupata siyo kufanya ngono pekee
 
 
Ukome unafanyaje mapenzi bila kupima magonjwa ya zinaaa?? Dem hata akiwa na magonjwa ya zinaa hawajui kwa haraka kama ilivyo UTI kwa wanawake inawahi kuonesha dalili kwa wanaume inachelewa kutokana na mfumo wa mkojo ulivyo.
Hebu acha hizo, utapima mara ngapi? Yaani asubuhi, nipime, jioni nipime.
Kwani umewahi kuona mtu akifa anafufuka? Ingekuwa ukifa na gono unafufuka hapo kweli tungeogopa maana hakuna anayetaka habari za kuishi milele, uishi milele unatafuta nini?
 
Hivi gono unaweza pata ukiwa umevaa condom?
Unapata ishu ipo pale unapoivua... Inashauriwa kuivua kuanzia kwenye Shina la uume huku ukiipindua ndani nje... Kama Kuna maji jirani inashauriwa unawe kwanza mikono na sabuni kabla ya zoezi la kuvua

Kama mwanamke haumuamini epuka mgusano wowote wa uume wako na sehemu za Siri zake kabla ya tendo la ndoa, kwani unaweza kuvaa condom kipindi uume wako ulishakutana na majimaji ya ukeni, kwahyo inakua kazi Bure, na hapa wanaume wengi ndio wamelia
 
Back
Top Bottom