PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ndiyo,Hivi gono unaweza pata ukiwa umevaa condom?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,Hivi gono unaweza pata ukiwa umevaa condom?
Palamagamba kabudi nae Ni dokta[emoji4]Tusichanganye Mambo.
Mganga wa kienyeji kwa kiingereza haitwi doctor. Anaitwa traditional medicine man.
Huyu aliyesomea uganga kwamsisi huwezi kumuita dokta.
Dalili zipo,sema wanajiambia labda ni UTI,au fungus tu.So wanapuuzia.Hawapimi.Ila wanachelewa kuona dalili..
Sasa hii sii balaaa....watu wanavaa condom za nini tenaNdiyo,
Inakuaje Sasa nyie hata hamuumwi Wala kuteseka na ugonjwa Kama wanaume[emoji848]Wao wanaambukizwa na wanaume.
Chlamydia unaipata hata kwa kunyonyana sehemu za siri.Ndiyo,
Wanaumwa,sema wanakuwa wanatibu ugonjwa usio sahihi,wengi wanafikiria ni UTI ,fungus.Inakuaje Sasa nyie hata hamuumwi Wala kuteseka na ugonjwa Kama wanaume[emoji848]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wadau wamesema hapa[emoji38]Acha Ufenge[emoji1]
Aisee mmenifanya nianze kuwaogopa Kama ukoma, ujue mkuu akil nyng tumeiwekeza kwny kuogopa ukimwi TU.Wanawake wengi wamejaa visonono, kaswende na U. T. I...
Kwakweli huu Uzi uwekewe lamination,Pana darasa zuri sana.
Mimba na Ngoma.Sasa hii sii balaaa....watu wanavaa condom za nini tena
Hebu acha hizo, utapima mara ngapi? Yaani asubuhi, nipime, jioni nipime.Ukome unafanyaje mapenzi bila kupima magonjwa ya zinaaa?? Dem hata akiwa na magonjwa ya zinaa hawajui kwa haraka kama ilivyo UTI kwa wanawake inawahi kuonesha dalili kwa wanaume inachelewa kutokana na mfumo wa mkojo ulivyo.
Hapana aisee,mpaka sasa huwa anaulizia appointment,namkwepa.Nilishamwambia tena akakana.Lakini mie muda huo sikuwa na dem mwingine.Namwogopa kama ukoma.
Unapata ishu ipo pale unapoivua... Inashauriwa kuivua kuanzia kwenye Shina la uume huku ukiipindua ndani nje... Kama Kuna maji jirani inashauriwa unawe kwanza mikono na sabuni kabla ya zoezi la kuvuaHivi gono unaweza pata ukiwa umevaa condom?