Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… msitufanyie mtima nyongo sasaaaaa... kwingine naona fresh maana wengine sie ni team nyama nyamaa nayamaa nyamaa tuuu.. ingekuwa kila mahala si tungeanza tembea na vichupa vya dawa na sindano ... unajipiga dose tu
Nasikia Kenya kuna gono lililoshindikana,, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huwa linatangazwa sana BBC
 
Nasikia Kenya kuna gono lililoshindikana,, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huwa linatangazwa sana BBC
Lile suguu baraa, mie kuna jamaa yangu tulikuwa college.. alikuwa nalo la hivyo.. ilifikia wakati anatembea na madawa kama doctor anajipiga madose tu.. ule ugonjwaa tuache tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sio mzuri na una tafsiri mbaya sanaaa . hata kama ulipata kwa bahati mbaya
 
Hakuna cha bahati mbaya ni umarayaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huu uzi unachekesha hatari sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omba yasikukute....aise ni maumivu hatari alafu wanawake walivyo wangese ukiwaambia umeniambukiza wanakuruka mile 100. Sio mie umetomber malaya zako huko unakuja nisingizia mie. Wakati hii kitu effect yake ni immediate, yaani umemgegeda demu leo kesho tuu majibu tayari. Wapuuzi sana hawa wanawake sema mbususu zao tamu๐Ÿ˜œ
 
Ni kweli kwani niliupata 2005 kwenda hospitali ilikuwa either 2006 au 2007 na nilimueleza dr kuwa mbona sijagusa mwanamke kavukavu muda mrefu. Akaniambia Neno hilo. Vidada vya majani mapana, nguvumali, Kisosora, Mwanzange na mwakidira ndio viliniambukiza hsyo.
Kipindi chote hicho huna dalili zozote?
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… zile bahati mbayaa tu kwakweli mie nimelala na zaidi ya mamia.. ila kaja kunipa mmoja ambae huwezi mzania hata kidogo na mdada poa kabisa na kitengo chake ila kumbe yupo na mtandao wa gono mwilini mwake
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Vijana mko vizuri kwenye suala lazima la kuloweka,,, mamia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚umenifurahisha leo aaaaiiiiii
 
Back
Top Bottom