Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,

Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,

Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura jamaa akabaki kaduwaa tu manake almost kila mtu alikuwa akitazama tukio hilo,

Tukio la pili demu mwingine kamkuta jamaa anasubiri msosi wake wa nyama ya kuku alioutolea oda uive asepe mara kanakuja kademu kamevaa nusu uchi kanaanza kujinyonga nyonga huku kaki force near body to body contact jamaa akaduwaa na kuanza kujiuliza hiki nini jamani ila eventually jamaa alichukua msosi wake na kusepa zake,

Sielewi wanawake wanatuchukuliaje manake huku ni kutudhalilisha ni kama vile SWALA amkimbize SIMBA .

UZI TAYARI.
 
Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura
Non sense from Chelsea fan

USSR
 
Wtf
 
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,

Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,

Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura jamaa akabaki kaduwaa tu manake almost kila mtu alikuwa akitazama tukio hilo,

Tukio la pili demu mwingine kamkuta jamaa anasubiri msosi wake wa nyama ya kuku alioutolea oda uive asepe mara kanakuja kademu kamevaa nusu uchi kanaanza kujinyonga nyonga huku kaki force near body to body contact jamaa akaduwaa na kuanza kujiuliza hiki nini jamani ila eventually jamaa alichukua msosi wake na kusepa zake,

Sielewi wanawake wanatuchukuliaje manake huku ni kutudhalilisha ni kama vile SWALA amkimbize SIMBA .

UZI TAYARI.
Vatican mi nilidhani ni mji mtakatifu kumbe kuna hayo mambo😳😳
 
Udangaji umekuwa mgumu sana siku hizi hivyo lazima wadangaji wawe wabunifu kuja na mbinu mpya; bila hivyo kama Jiwe alivyowaambia watu wa Bukoba baada ya adha ya tetemeko "MTAKUFA"!
 
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,

Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,

Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura jamaa akabaki kaduwaa tu manake almost kila mtu alikuwa akitazama tukio hilo,

Tukio la pili demu mwingine kamkuta jamaa anasubiri msosi wake wa nyama ya kuku alioutolea oda uive asepe mara kanakuja kademu kamevaa nusu uchi kanaanza kujinyonga nyonga huku kaki force near body to body contact jamaa akaduwaa na kuanza kujiuliza hiki nini jamani ila eventually jamaa alichukua msosi wake na kusepa zake,

Sielewi wanawake wanatuchukuliaje manake huku ni kutudhalilisha ni kama vile SWALA amkimbize SIMBA .

UZI TAYARI.
....Mumemuelewa???....
 
Hao jamaa zako wape 🤝
 
Hili la Swala kukimbiza Simba limenichekesha
 
Nimekuja mbio nikajua Pope Francis na Ma Cardinal wamekuja kudaiwa Hela ya matunzo Kwa watoto Zao wa michongo waliozalisha kwa michepuko ya kiitaliano!
😁😁😁😁🔥🔥🔥
 
TAMKO

Tatizo liko kwetu:
Mwanaume kamili huwezi tishika na ukubwa wa makalio, kiasi cha kuweweseka. Tena yange kuwa ya maana angepata watu wa maana na angevaa nguo za maana. Hivyo basi kwa kuwa hayana maana hapati mtu wa maana!Soko lake liko kwa wasio na maana.

Huku kwetu kuna mtu ana hayo makitu kitu, kiasi akijamba leo harufu inatoka mwezi wa saba, wakati wa vikao vya bajeti.

hivi unajua wazungu wana akili sana, ushawahi ona mzungu ana hangaika na hizo taka mwili
 
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,

Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,

Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura jamaa akabaki kaduwaa tu manake almost kila mtu alikuwa akitazama tukio hilo,

Tukio la pili demu mwingine kamkuta jamaa anasubiri msosi wake wa nyama ya kuku alioutolea oda uive asepe mara kanakuja kademu kamevaa nusu uchi kanaanza kujinyonga nyonga huku kaki force near body to body contact jamaa akaduwaa na kuanza kujiuliza hiki nini jamani ila eventually jamaa alichukua msosi wake na kusepa zake,

Sielewi wanawake wanatuchukuliaje manake huku ni kutudhalilisha ni kama vile SWALA amkimbize SIMBA .

UZI TAYARI.
Puuzi kubwa weye
 
Back
Top Bottom