Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Kuna demu kaniomba hela ya kusuka, ana birthday kesho kutwa.
Kwhy nisimpe mazee?
 
Unaposema too general unamanisha nini?
Simple, mjumuisho kana kwamba umeafanyia utafiti wote unaodai wako kama unavyowaelezea. Mfano, huwezi kusema kuwa Watanzania wote ni wezi wakati kuna watoto wachanga na watu wema miongoni mwao simply because mmojawapo au baadhi wamekuibia.
 
Simple, mjumuisho kana kwamba umeafanyia utafiti wote unaodai wako kama unavyowaelezea. Mfano, huwezi kusema kuwa Watanzania wote ni wezi wakati kuna watoto wachanga na watu wema miongoni mwao simply because mmojawapo au baadhi wamekuibia
Lakini uzi hauko genearal, specifically umetaja aina gani ya mahusiano ambayo ni ya upande mmoja yako kwa ajili ya kumchuna na kumkandamiza mwanaume
 
Umenikumbusha langa matawi ya juu,
We wanakuchuna, mi wananigea bure
Langa alikuwa sahihi sana wanawake wanaspend kwa wanaume wanaowaelewa na huwapa sex free

Tatizo wanaume wengi hawajawahi kupendwa wao huwa wanaamini kwenye kuhonga tu

They learn the hard way kuwa money does not buy genuine love
 
Mkuu kila mtu ale urefu wa kamba yake tu tusipangiane Mr Chinese boy.
Wengi husema hivyo baadaye penzi likiharibika wanaanza kulalamika kwa mademu au kwa marafiki zao zao sijui yule manzi nilimfanyia hivi mara nilimnunulia kile. Ooh kala sana hela zangu ila siamini alichonifanyia. Acha wanyoshwe mpaka akili ziwakae sawa

Mademu jibu lao ni kuu ni kwani nilikuforce uwe unanipa. Ana nguvu ya kusema hivyo kwa sababu hajainvest chochote kwenye mahusiano yenu

Lakini demu akiwa ameinvest kwenye uhusiano wenu sawa na wewe lazima atakuthamini na hatafikiria break up

Make your woman invest as much as you are investing in a relationship

A woman doesn't value you until she invests in you


Learn or Perish
 
Hadi sasa mtoa mada una pepo yako murua huko ahela.

Mapenzi ni kutendana siyo kutendewa pekee.

Ukiwa na malaya ambaye haongezi thamani yoyote kwako zaidi ya sex, kaa naye mbali huyo ni hatari kuliko wasiojulikana au CORONA.
Umesema vyema mkuu

Demu ambaye anakula tu pesa zako na yeye mchango wake ni sex tu huyo ni malaya. Kuna tofauti gani kati yake na malaya?

Hapo kazi kwake mwanaume ahudumie huyo demu malaya indirect au awe ananunua tu malaya wanaojiuza direct ili ajipunguzie gharama. Kuna haja gani ya kuhudumia malaya

The game is brutal but still fair
 
Majambazi huu uzi yatauchungulia kwa mbali
Majambazi nyuzi kama hizi hawachangii kabisa. Yametulia tu yameanza kuwapanga masimp msimu huu wa sikukuu
  • Wanajifanya kuact nice​
  • Kureply meseji za masimp quickly​
  • Kuwapigia kuwajuli hali​
  • Kuonyesha wanawacare​

Wakati siku za nyuma kuna kupindi simp
  • Alikuwa ghosted​
  • Meseji zake hazikujibiwa kwa wakati​
  • Alitukanwa​
  • Alimbluetick​
  • Simu hazipokelewi anampanga alikuwa busy​
Akishakula hela za sikukuu mwendo ni uleule
 
Back
Top Bottom