Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao

Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for him.

Kwenye sikukuu kama Christmas au Eid n.k mwanaume yuleyule mpumbavu ndiye humgharamia nguo ya sikukuu. Zawadi ya malaya anampa K

Kwenye Valentine Day, bado mwanaume mpumbavu atagharamia outing na mazagazaga mengine. Zawadi ya gf wake ni kumpea mbususu.

Kwenye mwaka mpya tena mwanaume yuleyule mjinga atapigwa vizinga. Malaya hana cha kumpa zaidi ya kumchanulia mapaja

Kwenye special occassions kama anniversary tena mwanaume mpumbavu ndiye atakayeingia gharama ya mambo yote kama zawadi. Kademu kake kanampa tena sex.

Christmas hii na matukio mengine ya mbeleni acha ujinga wewe simp usimnunulie zawadi. Kwa nini ujile kwenye penzi la upande mmoja.

HARD FACT: Ukweli ni kwamba wanawake wana pesa, lakini wanachagua tu kuzitumia kwa vitu au watu wanaowapenda.

Ikiwa unajiona kuwa wewe pekee ambaye unampa zawadi katika uhusiano, ujue tu inatosha kusema kuwa unadate mwenyewe au na malaya.

Mwanamke siyo kiumbe pekee ambaye anastahili kupewa zawadi hata wewe pia mwanaume unastahili kupokea zawadi kutoka kwa mpenzi wako.

Msimu huu hakupi zawadi na wewe usimpe zawadi wala pesa.

If she gifts you, gift her. If she spends on you, spend on her. If she tells you she's broke, tell her you are broke too.

Love is giving from both sides and not from only one side

Nothing more! Nothing less!

Learn or Perish
Unaeleza kuhusu mahawara au watu wenye ndoa zao?
 
Hasa wenye mahawara hata wenye ndoa zao pia

Mke anaweza kumgift mumewe kama ishara ya kumpenda
Mama wa nyumbani asiyepika hata maandazi atatoa zawadi gani?Msiwe mna-complicate issues kivile.Mwanaume anatakiwa atunze mkewe/familia bila kuangalia gharama kadiri ya kipato chake.Na hatakiwi kuwa na hawara.
 
Mwanamke kama huyo hana sifa za kuwa mke mwema anayetajwa kwenye METHALI 31

Mke mwema ni mchapakazi anafanya biashara na hali mkate wa uvivu hivi kwamba hadi watoto na mumewe wanamsifu mbele za watu

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. 17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. 18Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
Methali 31:16-18

Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi
Methali 31:24

27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. 28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema
Methali 31:27, 28
 
Huyo oa wewe.Mimi nimeoa mama wa nyumbani anayekaa kwenye kigoda kunipikia ugali na sufuria kalibana na mpanti.
 
Good reminder 🎗️
Ni vizuri tukumbushane maana vijana na wanaume wengi miaka hii wamekuwa exploited sana kwenye mahusiano na hawa modern women

Wanaume wengi ni pussy oriented sana kwenye mahusiano, halafu unakuta anajisifu yule ni GF wangu tunapendana sana

Ukichunguza mahusiano yao utakuta wanaume ni sawa na kusema wanadate na hook up girls au wauza uchi

Mwanamke kama hainvest kwa mwanaume huyo ni mnyonyaji na tapeli
 
Upo sawa, mwanaume usijitoe kafara kwa ajili ya mwanamke ila hii haitaepusha mwanamke kuhongwa sababu kuna wanaume wenye uwezo, wenyewe hawana shida kuhonga na hawajali maana zipo watamhonga kwa niaba yako na wanawake wanalijua hili. Tunarudi pale pale, mwanamke hana kiburi mbele ya wanaume wenye msimamo ufananao, hii vita ni ya kwetu wanaume.
 
Back
Top Bottom