Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #21
Usipompa zawadi wako tutampa sisi na mbususu tunaikula
Nakubaliana nawe. Kwa vile umeyafanya na kuthibitisha upumbavu wako, nashukuru unawaonya wenzio japo madai yako ni too geneeral so to speak mwanangu.
Mkuu kila mtu ale urefu wa kamba yake tu tusipangiane Mr Chinese boy.
Dah mnaombwa pesa za hovyo mazee hiyo toa tu.Kuna demu kaniomba hela ya kusuka, ana birthday kesho kutwa.
Kwhy nisimpe mazee?
Simple, mjumuisho kana kwamba umeafanyia utafiti wote unaodai wako kama unavyowaelezea. Mfano, huwezi kusema kuwa Watanzania wote ni wezi wakati kuna watoto wachanga na watu wema miongoni mwao simply because mmojawapo au baadhi wamekuibia.Unaposema too general unamanisha nini?
Natoa mkuu, mimi si mchoyo.Dah mnaombwa pesa za hovyo mazee hiyo toa tu.
Simple, mjumuisho kana kwamba umeafanyia utafiti wote unaodai wako kama unavyowaelezea. Mfano, huwezi kusema kuwa Watanzania wote ni wezi wakati kuna watoto wachanga na watu wema miongoni mwao simply because mmojawapo au baadhi wamekuibia
Hilo ni jukumu la mume au babaKuna demu kaniomba hela ya kusuka, ana birthday kesho kutwa.
Kwhy nisimpe mazee?
Umenikumbusha langa matawi ya juu,
We wanakuchuna, mi wananigea bure
Dah mnaombwa pesa za hovyo mazee hiyo toa tu.
Mkuu kila mtu ale urefu wa kamba yake tu tusipangiane Mr Chinese boy.
HAjawahi.Hilo ni jukumu la mume au baba
Ni lini mara ya mwisho alispend on you au kukupa zawadi?
Hadi sasa mtoa mada una pepo yako murua huko ahela.
Mapenzi ni kutendana siyo kutendewa pekee.
Ukiwa na malaya ambaye haongezi thamani yoyote kwako zaidi ya sex, kaa naye mbali huyo ni hatari kuliko wasiojulikana au CORONA.
HAjawahi.
Majambazi huu uzi yatauchungulia kwa mbali
🤣🤣🤣Ni huzunii kwakweliiView attachment 3176011
Toa comment mrembo wetuOk ok ok