Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Unaeleza kuhusu mahawara au watu wenye ndoa zao?
 
Hasa wenye mahawara hata wenye ndoa zao pia

Mke anaweza kumgift mumewe kama ishara ya kumpenda
Mama wa nyumbani asiyepika hata maandazi atatoa zawadi gani?Msiwe mna-complicate issues kivile.Mwanaume anatakiwa atunze mkewe/familia bila kuangalia gharama kadiri ya kipato chake.Na hatakiwi kuwa na hawara.
 
Mama wa nyumbani asiyepika hata maandazi atatoa zawadi gani?Msiwe mna-complicate issues kivile.Mwanaume anatakiwa atunze mkewe/familia bila kuangalia gharama kadiri ya kipato chake.Na hatakiwi kuwa na hawara.
Mwanamke kama huyo hana sifa za kuwa mke mwema anayetajwa kwenye METHALI 31

Mke mwema ni mchapakazi anafanya biashara na hali mkate wa uvivu hivi kwamba hadi watoto na mumewe wanamsifu mbele za watu

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. 17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. 18Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
Methali 31:16-18


Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi
Methali 31:24

27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. 28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema
Methali 31:27, 28
 
Huyo oa wewe.Mimi nimeoa mama wa nyumbani anayekaa kwenye kigoda kunipikia ugali na sufuria kalibana na mpanti.
 
Good reminder ๐ŸŽ—๏ธ
Ni vizuri tukumbushane maana vijana na wanaume wengi miaka hii wamekuwa exploited sana kwenye mahusiano na hawa modern women

Wanaume wengi ni pussy oriented sana kwenye mahusiano, halafu unakuta anajisifu yule ni GF wangu tunapendana sana

Ukichunguza mahusiano yao utakuta wanaume ni sawa na kusema wanadate na hook up girls au wauza uchi

Mwanamke kama hainvest kwa mwanaume huyo ni mnyonyaji na tapeli
 
Upo sawa, mwanaume usijitoe kafara kwa ajili ya mwanamke ila hii haitaepusha mwanamke kuhongwa sababu kuna wanaume wenye uwezo, wenyewe hawana shida kuhonga na hawajali maana zipo watamhonga kwa niaba yako na wanawake wanalijua hili. Tunarudi pale pale, mwanamke hana kiburi mbele ya wanaume wenye msimamo ufananao, hii vita ni ya kwetu wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ