Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

Kweli kabisa, kama kupewa hela ndio ishara ya kupendwa basi na yeye akupe hela pia. Money is unsex
 
Kwa kifupi wanawake wana akili kuliko wanaume
 
Ubarikiwe sana bro uwa nakubaliana na wewe kwenye hizi mada pamoja na Natafuta Ajira
 
Una akili sana, inaelekea wewe si mwanamme wa Dar au Pwani ya Tanzania (Tanga, Zanzibar, Pemba, Lindi na Mtwara)
 
How do you expect women to differentiate a man from a boy 🤔 because real men provides while boys stay stingy😂😂😂😂😂
 
Japokuwa huwa nina roho mbaya kwenye kutoa likes. Kwa point uliyoongea nakupa like.

Chukua like hiyo
 
Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for him.
Kwani hiyo sio zawadi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…